Hivi huyu Wastara hana ndugu zake?

Hivi huyu Wastara hana ndugu zake?

Ok,nimekumbuka mwache apige shimo kwanza.😂😂
Saizi wasimpe hela,. Waende nae hospitali wakalipe bili maana 15m za magu alienda kupiga tu picha na kurudi,. Na ya mume wake tena wala risiti hakurudi nazo baba wa watu akashindwa kupewa hela zake bungeni na ndio ikawa mwisho wao
 
Why hakupewa hela zake yule mzee
 
View attachment 3345417

Huyu Dada tangu nifahamu habari zake mara zote nimemsikia akiumwa na akiomba misaada ya matibabu.

Sina Nia mbaya na wala sina shida yoyote na kuomba kwake, Bali nauliza tu kwamba Je huyu Dada ni Yatima au ametengwa na Ndugu zake?

Mbona hata sisi tunauguliwa lakini tunajikusanya na kuchangia matibabu ya Ndugu zetu na mara kadhaa tumesafirisha ndugu kutibiwa hadi India na kwingineko, Ndugu wa huyu Wastara hawakooni hilo, mpaka ndugu yao kutwa kucha kwenye media kuomba misaada, hawaoni Aibu?

Hata kama serikali ina hela, lakini inawezekanaje msaada wake uwe kwa Wastara tu miaka yote, nani amesahau Wagonjwa waliopona lakini hawaruhusiwi kuondoka mawodini hadi ndugu zao walipe bili za matibabu, Je hao hawastahili kulipiwa na serikali?
Tapeli aliyetukuka.
 
Kwanza hana njaa Wastara, kwao wanamiliki maduka ya Sonara miaka na miaka, shida ya huyo Dada anapenda maisha ya gharama, anapenda kuishi kama wanawake wa kiarabu wa Oman au Saudia,

Ila mchangieni tu mengine atajua yeye na Mola wake 😀😀
Tabata alihama?
 
View attachment 3345417

Huyu Dada tangu nifahamu habari zake mara zote nimemsikia akiumwa na akiomba misaada ya matibabu.

Sina Nia mbaya na wala sina shida yoyote na kuomba kwake, Bali nauliza tu kwamba Je huyu Dada ni Yatima au ametengwa na Ndugu zake?

Mbona hata sisi tunauguliwa lakini tunajikusanya na kuchangia matibabu ya Ndugu zetu na mara kadhaa tumesafirisha ndugu kutibiwa hadi India na kwingineko, Ndugu wa huyu Wastara hawakooni hilo, mpaka ndugu yao kutwa kucha kwenye media kuomba misaada, hawaoni Aibu?

Hata kama serikali ina hela, lakini inawezekanaje msaada wake uwe kwa Wastara tu miaka yote, nani amesahau Wagonjwa waliopona lakini hawaruhusiwi kuondoka mawodini hadi ndugu zao walipe bili za matibabu, Je hao hawastahili kulipiwa na serikali?
WATU WA HIVI WAPO. YAANI HAWA WATU KILA KITU NI FURSA KWAO. AKIUMWA NI FURSA, AKIPATA AJALI NI FURSA. KILA KITU NI FURSA KWAKE.
 
Wangempaje hela bila vithibitisho kutoka hospitali??,. Bila receipts za kuprove gharama za matibabu??

Yaani ni kama mtu akwambie alienda kutibiwa na hata kadi hana,.
Ok nimekuelewa nilidhani ni hela za mafao ya ubunge.
 
View attachment 3345417

Huyu Dada tangu nifahamu habari zake mara zote nimemsikia akiumwa na akiomba misaada ya matibabu.

Sina Nia mbaya na wala sina shida yoyote na kuomba kwake, Bali nauliza tu kwamba Je huyu Dada ni Yatima au ametengwa na Ndugu zake?

Mbona hata sisi tunauguliwa lakini tunajikusanya na kuchangia matibabu ya Ndugu zetu na mara kadhaa tumesafirisha ndugu kutibiwa hadi India na kwingineko, Ndugu wa huyu Wastara hawakooni hilo, mpaka ndugu yao kutwa kucha kwenye media kuomba misaada, hawaoni Aibu?

Hata kama serikali ina hela, lakini inawezekanaje msaada wake uwe kwa Wastara tu miaka yote, nani amesahau Wagonjwa waliopona lakini hawaruhusiwi kuondoka mawodini hadi ndugu zao walipe bili za matibabu, Je hao hawastahili kulipiwa na serikali?
Tangu afiwe na mme wake Sajuki, hajawahi kuwa sawa huyu binadamu
 
Back
Top Bottom