Hivi huyu Wastara hana ndugu zake?

Hivi huyu Wastara hana ndugu zake?

Subiri nawewe uumwe ndio utajua kuwa una ndugu au hauna
Una uhakika hajawahi kuumwa? Mitaani watu wanaumwa zaidi ya Wastara na huoni mabango wala interview za kujilizaliza...huyo mtu hata ndugu zake ni wazi wamemchoka. Mtu ameshachangiwa zaidi ya mara mbili mamilioni na akadai anaenda India ila bado mwendo ni uleule! Kuna walemavu hawana miguu yote miwili na wanapambania maisha yao kwa kufanya shughuli mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuendesha bajaji. Huyo ameshaona hiyo ndo shortcut ya kujichotea mamilioo!
 
Wasanii wa Tanzania wanaishi maisha fake sijapata kuona, kwa Msukuma tu wa kijijini akiwaona wanavyojipost mtandaoni atafikiri ni watu wa maana, subiri sasa waumwe, wanailalamikia serikali utafikiri serikali ndiyo iliyowafanya waugue.
Wastara hata asingekuwa anaumwa kwani anaingiza kiasi gani kwenye sanaa yake!? Tafuta wasanii wakutolea mfano na siyo huyo. Wapo wanaoingiza pesa za kutosha tu kama Mondi, Kiba, Harmo n.k ila wengine ni hela za kawaida za maendeleo na wengine za chakula tu so usijumuishe wote kwenye issue ya Wastara
 
Tangu kipindi kile ndugu wa marehemu Ruge waombe msaada wa kuchangiwa gharama za matibabu, sishangai kwa wanaoomba msaada wa matibabu, regardless ya social status zao.
Ndugu wa Ruge hawakuwahi kuomba ila serikali ndo iliingilia kati kuwapunguzia gharama. Ruge alikuwa na pesa na bado familia yake (kwa wazazi) walikuwa vzr, zaidi ni CMG wasingeshindwa pia kugharamia matibabu yake. Tofautisheni wanaoomba masaada na wanaopelekewa msaada sababu ya status zao.
 
Si aliolewa na mbunge wa Zanzibar akamuacha kwa maneno kibao ya shombo wakati jamaa alikuwa anamtunza na kugharamia kila kitu!
Huyo huwa hamuhesabii kuwa amewahi kuolewa naye
Screenshot_20250527_123331.jpg
Screenshot_20250527_124116.jpg


Moyo wake ulibaki hapa👇
Screenshot_20250527_123932.jpg
Screenshot_20250527_124014.jpg
Screenshot_20250527_124052.jpg



Huko kwingine yalibaki marumbano tu👇

 
Cjui ni hapa hapa jf cjui ni wapi nimesoma kuna mdau amenichekesha sana,.... jamaa anasema
" Wastara anapenda kulalamika sana, kila siku analalamika kwamba anaumwa anaomba msaada apelekwe hospitali akatibiwe, Leo kuna wasamalia wamempeleka hospital, wakiwa njiani safarini kuelekea hospital nasikia alikua analalamika na kulaumu sana..... "
 
Una uhakika hajawahi kuumwa? Mitaani watu wanaumwa zaidi ya Wastara na huoni mabango wala interview za kujilizaliza...huyo mtu hata ndugu zake ni wazi wamemchoka. Mtu ameshachangiwa zaidi ya mara mbili mamilioni na akadai anaenda India ila bado mwendo ni uleule! Kuna walemavu hawana miguu yote miwili na wanapambania maisha yao kwa kufanya shughuli mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuendesha bajaji. Huyo ameshaona hiyo ndo shortcut ya kujichotea mamilioo!
Nonsense
 
Watu wanaumwa hata ndugu hawaji kukuona wala kukujulia hali lakini wanapiga kimya..tunasema tunamwachia Mungu. Ila huyu mwenzetu loh
habari za kumuachia Mungu huyu dada amekataa, yeye anawaachia watanzania, maana watanzania wote ni ndugu,..😆
 
View attachment 3345417

Huyu Dada tangu nifahamu habari zake mara zote nimemsikia akiumwa na akiomba misaada ya matibabu.

Sina Nia mbaya na wala sina shida yoyote na kuomba kwake, Bali nauliza tu kwamba Je huyu Dada ni Yatima au ametengwa na Ndugu zake?

Mbona hata sisi tunauguliwa lakini tunajikusanya na kuchangia matibabu ya Ndugu zetu na mara kadhaa tumesafirisha ndugu kutibiwa hadi India na kwingineko, Ndugu wa huyu Wastara hawalioni hilo, mpaka ndugu yao kutwa kucha kwenye media kuomba misaada, hawaoni Aibu?

Hata kama serikali ina hela, lakini inawezekanaje msaada wake uwe kwa Wastara tu miaka yote, nani amesahau Wagonjwa waliopona lakini hawaruhusiwi kuondoka mawodini hadi ndugu zao walipe bili za matibabu, Je hao hawastahili kulipiwa na serikali?
If you can’t help her, don't harm her. Mwache tuu ahangaike anavyojua yeye. Duniani kila mtu anapambana kwa namna yake.

Siku hizi damu ni nyepesi kuliko maji. Climate change is real!
 
Huyo huwa hamuhesabii kuwa amewahi kuolewa naye
View attachment 3347412View attachment 3347420

Moyo wake ulibaki hapa👇
View attachment 3347421View attachment 3347422View attachment 3347423


Huko kwingine yalibaki marumbano tu👇

Sajuki na Wastara walipendana sana
Na wastara alijizolea umaarufu wa kuwa mwanamke shupavu kwa mumewe wakati wa shida.

Sasa toka amefiwa 2013
Yeye ni vilio hadi leo.
 
Kwanza hana njaa Wastara, kwao wanamiliki maduka ya Sonara miaka na miaka, shida ya huyo Dada anapenda maisha ya gharama, anapenda kuishi kama wanawake wa kiarabu wa Oman au Saudia,

Ila mchangieni tu mengine atajua yeye na Mola wake 😀😀
wewe umeongea kweli.. huyu shangazi anapenda maisha ya kifahari akiishiwa anakuja na drama
 
Sajuki na Wastara walipendana sana
Na wastara alijizolea umaarufu wa kuwa mwanamke shupavu kwa mumewe wakati wa shida.

Sasa toka amefiwa 2013
Yeye ni vilio hadi leo.
Nimecheka eti kapelekwa hospital hakuna anachoumwa zaidi ya mguu wake kuwa na maumivu ambayo ni kawaida alipelekwa mloganzira
 
Back
Top Bottom