Hivi huyu Wastara hana ndugu zake?

Hivi huyu Wastara hana ndugu zake?

View attachment 3345417

Huyu Dada tangu nifahamu habari zake mara zote nimemsikia akiumwa na akiomba misaada ya matibabu.

Sina Nia mbaya na wala sina shida yoyote na kuomba kwake, Bali nauliza tu kwamba Je huyu Dada ni Yatima au ametengwa na Ndugu zake?

Mbona hata sisi tunauguliwa lakini tunajikusanya na kuchangia matibabu ya Ndugu zetu na mara kadhaa tumesafirisha ndugu kutibiwa hadi India na kwingineko, Ndugu wa huyu Wastara hawakooni hilo, mpaka ndugu yao kutwa kucha kwenye media kuomba misaada, hawaoni Aibu?

Hata kama serikali ina hela, lakini inawezekanaje msaada wake uwe kwa Wastara tu miaka yote, nani amesahau Wagonjwa waliopona lakini hawaruhusiwi kuondoka mawodini hadi ndugu zao walipe bili za matibabu, Je hao hawastahili kulipiwa na serikali?
Ndio nani huyo huko Dar?!
Wengine hatujawahi fika

No Reforms, No Election.
 
Kwanza hana njaa Wastara, kwao wanamiliki maduka ya Sonara miaka na miaka, shida ya huyo Dada anapenda maisha ya gharama, anapenda kuishi kama wanawake wa kiarabu wa Oman au Saudia,

Ila mchangieni tu mengine atajua yeye na Mola wake 😀😀
 
View attachment 3345417

Huyu Dada tangu nifahamu habari zake mara zote nimemsikia akiumwa na akiomba misaada ya matibabu.

Sina Nia mbaya na wala sina shida yoyote na kuomba kwake, Bali nauliza tu kwamba Je huyu Dada ni Yatima au ametengwa na Ndugu zake?

Mbona hata sisi tunauguliwa lakini tunajikusanya na kuchangia matibabu ya Ndugu zetu na mara kadhaa tumesafirisha ndugu kutibiwa hadi India na kwingineko, Ndugu wa huyu Wastara hawakooni hilo, mpaka ndugu yao kutwa kucha kwenye media kuomba misaada, hawaoni Aibu?

Hata kama serikali ina hela, lakini inawezekanaje msaada wake uwe kwa Wastara tu miaka yote, nani amesahau Wagonjwa waliopona lakini hawaruhusiwi kuondoka mawodini hadi ndugu zao walipe bili za matibabu, Je hao hawastahili kulipiwa na serikali?
Amefiwa na mume wake
 
Back
Top Bottom