Hivi huyu Wastara hana ndugu zake?

Hivi huyu Wastara hana ndugu zake?

Nimecheka eti kapelekwa hospital hakuna anachoumwa zaidi ya mguu wake kuwa na maumivu ambayo ni kawaida alipelekwa mloganzira
Hee
Makubwa!
Si alikuwa amevimba sana tumbo
Hawajakita shida tumboni?
 
Khaa😂😂😂🙌
Kuna watu IG na FB wakawa wanasema hawamwamini Wastara..anaweza hata kuweka manguo.
Ila ni kama kweli alikuwa anaumwa.
Wastara ana tatizo linaitwa 'Hypochondria' kwa lugha nyepesi Illness Anxiety Disoder
Ni tatizo la akili ambalo muhusika hujihisi anaumwa sana lakini akipimwa kila kitu kipo sawa, yaani kinachoumwa ni akili na sio mwili, anahitaji kuonana na daktari wa magonjwa ya akili apate tiba,
 
Kabisa atibiwe
Shida analalamika sana hali ambayo itakuwa inampelekea kujihisi anaumwa.
Apunguze matarajio kwa watu.
 
View attachment 3345417

Huyu Dada tangu nifahamu habari zake mara zote nimemsikia akiumwa na akiomba misaada ya matibabu.

Sina Nia mbaya na wala sina shida yoyote na kuomba kwake, Bali nauliza tu kwamba Je huyu Dada ni Yatima au ametengwa na Ndugu zake?

Mbona hata sisi tunauguliwa lakini tunajikusanya na kuchangia matibabu ya Ndugu zetu na mara kadhaa tumesafirisha ndugu kutibiwa hadi India na kwingineko, Ndugu wa huyu Wastara hawalioni hilo, mpaka ndugu yao kutwa kucha kwenye media kuomba misaada, hawaoni Aibu?

Hata kama serikali ina hela, lakini inawezekanaje msaada wake uwe kwa Wastara tu miaka yote, nani amesahau Wagonjwa waliopona lakini hawaruhusiwi kuondoka mawodini hadi ndugu zao walipe bili za matibabu, Je hao hawastahili kulipiwa na serikali?
Dah! Baada ya post hii nikaona umepost Bango la Kuomba Watanzania waichangie Chadema! Ahahahahaha!!!
 
Wastara ana tatizo linaitwa 'Hypochondria' kwa lugha nyepesi Illness Anxiety Disoder
Ni tatizo la akili ambalo muhusika hujihisi anaumwa sana lakini akipimwa kila kitu kipo sawa, yaani kinachoumwa ni akili na sio mwili, anahitaji kuonana na daktari wa magonjwa ya akili apate tiba,
Kwanin alimuacha yule mbunge pale si kulikuwa na hela angekaa akatulia
 
Ila KAPO yake na Sajuki ilikua ina hamasishaga enzi hizooo....buhahahhaha wkt tupo sekondari...
 
Aisee
Niliziona hizo video zake nikajiuliza kama unavyojiuliza
 
Amekuwa addicted na ile michango ya kumuuguza marehemu mumewe sajuki, that time tulimsifu kwa kuwa na real love kwa saluki hatukujua kumbe uwepo wake pale ni ile michango ilikuwa inamfanya aone maisha mazuri kuuguza siyo issue pesa si zinatumwa tu na ndio maana baada ya saluki kufariki wadau kibao walitamani wamuoe kwakujua ana upendo wa kweli hawakujua ni jambazi tu kashakuwa addicted na michango so hapo ndio tatizo so tuzidi muombea abadilike
 
View attachment 3345417

Huyu Dada tangu nifahamu habari zake mara zote nimemsikia akiumwa na akiomba misaada ya matibabu.

Sina Nia mbaya na wala sina shida yoyote na kuomba kwake, Bali nauliza tu kwamba Je huyu Dada ni Yatima au ametengwa na Ndugu zake?

Mbona hata sisi tunauguliwa lakini tunajikusanya na kuchangia matibabu ya Ndugu zetu na mara kadhaa tumesafirisha ndugu kutibiwa hadi India na kwingineko, Ndugu wa huyu Wastara hawalioni hilo, mpaka ndugu yao kutwa kucha kwenye media kuomba misaada, hawaoni Aibu?

Hata kama serikali ina hela, lakini inawezekanaje msaada wake uwe kwa Wastara tu miaka yote, nani amesahau Wagonjwa waliopona lakini hawaruhusiwi kuondoka mawodini hadi ndugu zao walipe bili za matibabu, Je hao hawastahili kulipiwa na serikali?
Ila wastara ni pisi kaliii, ni vile tu changamoto za kimaisha zinazomkabili aisee
 
Back
Top Bottom