Hivi huyu Wastara hana ndugu zake?

Hivi huyu Wastara hana ndugu zake?

Anawalalamikia wasanii wenzake kwamba anaumwa hawaendi kumuona. Yeye ni kulalamika tu..alitakiwa aeleze anaumwa nini na amekwama wapi ili wanaotaka ku.saidia wamsaidie..sasa yeye analalamika anasema siku akifa wakienda kwenye msiba atawaona😀
Hata kama wasanii wana hii tabia ila wastara naye ni kiboko ya malalamiko .
Msaada ni muhimu ila siyo lazima.
Ni wasanii hawahawa walimshika sana mkono alipokuwa anauguza mumewe Sajuki.
Hao hao wakapaza sauti hadi akasaidiwa na Rais wa Sasa wa Tanzania ambaye kwa wakati huo alikuwa Makamu wa Rais.
Yaani anadai msaada kana kwamba ni lazima na ni haki yake.

.
 
Alishawahi pia kulalamika kwamba tangu mumewe sajuki afariki hawaendi tena kumuona😀😀😀
 
Oukay,
Enhe maana yake nini niambie
Hiyo picha inaonyesha ile hadithi ya Adam na eva, na maisha namna yalivyokuwa pale eden, pembeni kuna simba hawana hata habari ya kuwazuru wanadamu..
na kwenye mkono wa adam kuna nyoka ambae ndio alikuja kutibua mambo!.
Hii picha niliipenda namna mchoraji wake alivyoweza kuelezea vitu vingi kwa picha moja!, na zaidi nimependa aina hii ya sanaa aliyoionyesha vilevile nimeipenda kwasababu inaonyesha "UBINADAMU!" yani ule muunganiko wa me na ke huku akiwa ameficha nyuchi zao kwa ustadi yani hapo huwezi kuona uchi wowote...😂
Mi ni moja ya kiumbe naowapenda binadamu!, ni hivyo tu!.

Usiniulize kuhusu maana ya profile picture yangu maana hiyo ndo inatafsiri pana zaidi ...🤣
 
Alishawahi pia kulalamika kwamba tangu mumewe sajuki afariki hawaendi tena kumuona😀😀😀
Huyu Mama ni kiboko aisee.
Ajue watu pia wana ndugu zao wanaopitia hayo,
Wenzao pia wamewahi kufiwa,siyo yeye tu ndio akijeke special case.
......
Tunamuombea kwa Mungu apone na apate msaada anaoutaka.

Ila hadi anafikia hatua kutafuta sympathy kwa kumtaja hawa haijakaa sawa.

Hawa aliomba msaada bila kushurutisha watu na kuwalamikia ...hawa aliridhika na kuappreciate chochote alichochangiwa na kukipata.

Na aliendelea kuomba msaada katika njia ambayo si ya kuwalamikia watu hadi Dakika za mwisho alikuwa na moyo wa shukurani kwa wote.
 
Ndugu wengi wanafki tu ukiwa na shida, msaada sio haki yako. Nna jamaa yangu nae maisha yamebadilika tayari baada ya kupata ajali, ndugu wamekula kona na hakuna anaejali kuhusu yeye. Omba yasikukute.

Mnaolaumu mgonjwa analalamika sana eleweni tu ile hali ya kuwa mgonjwa haikuachi sawa, kuna namna inatesa kisaikolojia na inaumiza, nmeexperience hili kwa huyu jamaa yangu.
 
View attachment 3345417

Huyu Dada tangu nifahamu habari zake mara zote nimemsikia akiumwa na akiomba misaada ya matibabu.

Sina Nia mbaya na wala sina shida yoyote na kuomba kwake, Bali nauliza tu kwamba Je huyu Dada ni Yatima au ametengwa na Ndugu zake?

Mbona hata sisi tunauguliwa lakini tunajikusanya na kuchangia matibabu ya Ndugu zetu na mara kadhaa tumesafirisha ndugu kutibiwa hadi India na kwingineko, Ndugu wa huyu Wastara hawakooni hilo, mpaka ndugu yao kutwa kucha kwenye media kuomba misaada, hawaoni Aibu?

Hata kama serikali ina hela, lakini inawezekanaje msaada wake uwe kwa Wastara tu miaka yote, nani amesahau Wagonjwa waliopona lakini hawaruhusiwi kuondoka mawodini hadi ndugu zao walipe bili za matibabu, Je hao hawastahili kulipiwa na serikali?
Ugonjwa wa muda mrefu sio jambo jema.
Omba uzima.
Omba afya njema.

Mtu aliyeugua miaka mingi huathirika kisaikolojia.
Msameheni bure
 
Ndugu wengi wanafki tu ukiwa na shida, msaada sio haki yako. Nna jamaa yangu nae maisha yamebadilika tayari baada ya kupata ajali, ndugu wamekula kona na hakuna anaejali kuhusu yeye. Omba yasikukute.

Mnaolaumu mgonjwa analalamika sana eleweni tu ile hali ya kuwa mgonjwa haikuachi sawa, kuna namna inatesa kisaikolojia na inaumiza, nmeexperience hili kwa huyu jamaa yangu.

Kama Serikali inanunua kila goli la simba na yanga wastani wa 10M-30M kwanini isimsaidie Wastara.

Anabidi kusaidiwa Mimi namuunga mkono .

Then ile tu alivyokatwa kikawaida ile hali ilimpatia stress na alipofiwa na mumewe ndo ikaongezeka sonona.

Wastara asaidiwe Kama Serikali inaharibu pesa katika Anasa za kipumbavu why isiwasaidie hawa wagonjwa .
 
Wahusika wafanye hivyo nnaamini hakishindikani kitu kwenye hilo ila wadau watambue kuna mambo ukiwa unayapitia tayari unakuwa una zaidi ya changamoto unayoipitia.
 
Shida huyu dada amepitia maisha ya kuwa maarufu hivyo alikuwa anajua anapendwa sana lile kundi la watu lilikuwa nyuma yake lilivyo kuwa kubwa wenye kumpa pesa maneno matamu akavimba sana sasa baada ya kuumwa anashangaa haoni mtu yuko peke yake wale waliokuwa wakimpa pesa akiwa mzima na wengine kumtumia hawaoni tena hata jambo dogo tu kwake linakuwa kubwa anajiona ametengwa kwasababu hakuzoea changamoto kukataliwa kwake ilikuwa ngumu ndio maana sasa anaumia sana
 
View attachment 3345417

Huyu Dada tangu nifahamu habari zake mara zote nimemsikia akiumwa na akiomba misaada ya matibabu.

Sina Nia mbaya na wala sina shida yoyote na kuomba kwake, Bali nauliza tu kwamba Je huyu Dada ni Yatima au ametengwa na Ndugu zake?

Mbona hata sisi tunauguliwa lakini tunajikusanya na kuchangia matibabu ya Ndugu zetu na mara kadhaa tumesafirisha ndugu kutibiwa hadi India na kwingineko, Ndugu wa huyu Wastara hawakooni hilo, mpaka ndugu yao kutwa kucha kwenye media kuomba misaada, hawaoni Aibu?

Hata kama serikali ina hela, lakini inawezekanaje msaada wake uwe kwa Wastara tu miaka yote, nani amesahau Wagonjwa waliopona lakini hawaruhusiwi kuondoka mawodini hadi ndugu zao walipe bili za matibabu, Je hao hawastahili kulipiwa na serikali?
Serikali hua inamutumia kwenye kampeni za uchaguzi ccm
 
Huyu Mama ni kiboko aisee.
Ajue watu pia wana ndugu zao wanaopitia hayo,
Wenzao pia wamewahi kufiwa,siyo yeye tu ndio akijeke special case.
......
Tunamuombea kwa Mungu apone na apate msaada anaoutaka.

Ila hadi anafikia hatua kutafuta sympathy kwa kumtaja hawa haijakaa sawa.

Hawa aliomba msaada bila kushurutisha watu na kuwalamikia ...hawa aliridhika na kuappreciate chochote alichochangiwa na kukipata.

Na aliendelea kuomba msaada katika njia ambayo si ya kuwalamikia watu hadi Dakika za mwisho alikuwa na moyo wa shukurani kwa wote.
Kumbe kamtaja Hawa. Sijaona hiyo.😀
 
View attachment 3345417

Huyu Dada tangu nifahamu habari zake mara zote nimemsikia akiumwa na akiomba misaada ya matibabu.

Sina Nia mbaya na wala sina shida yoyote na kuomba kwake, Bali nauliza tu kwamba Je huyu Dada ni Yatima au ametengwa na Ndugu zake?

Mbona hata sisi tunauguliwa lakini tunajikusanya na kuchangia matibabu ya Ndugu zetu na mara kadhaa tumesafirisha ndugu kutibiwa hadi India na kwingineko, Ndugu wa huyu Wastara hawakooni hilo, mpaka ndugu yao kutwa kucha kwenye media kuomba misaada, hawaoni Aibu?

Hata kama serikali ina hela, lakini inawezekanaje msaada wake uwe kwa Wastara tu miaka yote, nani amesahau Wagonjwa waliopona lakini hawaruhusiwi kuondoka mawodini hadi ndugu zao walipe bili za matibabu, Je hao hawastahili kulipiwa na serikali?
Kama anaumwa kweli wacha aombe hata kila siku maana wapo watakaomsaidia unaweza kuwa na ndugu na hata siku moja usipate kuhisi kama wapo au hawapo.
 
View attachment 3345417

Huyu Dada tangu nifahamu habari zake mara zote nimemsikia akiumwa na akiomba misaada ya matibabu.

Sina Nia mbaya na wala sina shida yoyote na kuomba kwake, Bali nauliza tu kwamba Je huyu Dada ni Yatima au ametengwa na Ndugu zake?

Mbona hata sisi tunauguliwa lakini tunajikusanya na kuchangia matibabu ya Ndugu zetu na mara kadhaa tumesafirisha ndugu kutibiwa hadi India na kwingineko, Ndugu wa huyu Wastara hawakooni hilo, mpaka ndugu yao kutwa kucha kwenye media kuomba misaada, hawaoni Aibu?

Hata kama serikali ina hela, lakini inawezekanaje msaada wake uwe kwa Wastara tu miaka yote, nani amesahau Wagonjwa waliopona lakini hawaruhusiwi kuondoka mawodini hadi ndugu zao walipe bili za matibabu, Je hao hawastahili kulipiwa na serikali?
Mara kadhaa nimemsikia kwenye interview zake akisema kila wiki huwa anatoa misaada kwa yatima na madrassa

Sasa sijui anaomba msaada wa nini wakati yeye mwenyewe ni don

Hawa watu wana maisha feki ni wa kupuuzwa
 
Back
Top Bottom