Hivi huyu fundi nimfanye nini!!

Hivi huyu fundi nimfanye nini!!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mpe kelebuu moja tu
 
Pole mkuu, kuna "scorpion" mwingine wa maendeleo ya watu kama huyo kanisababishia hasara kubwa ya kuvunja marumaru zote baada za kuziweka ndivyo sivyo. I can feel your pain.
 
Itakuwa ulimchukua saidia alafu anakaa kijijin
 
😀mchape makofi kama ulivyomchapa yule uliyemkuta anajisaidia kwenye tofali zako
 
huyu naamini ni fundi pacha yaani TYRE MAN sio TILES. na tyres huwa zinaonesha rotation kukabiliana na utelezi. hivyo aliona kukuepusha na ajali za kung'oa meno ikabidi ajiongeze. rejea UDEREVA WA KUJIHAMI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom