Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 38,817
- 90,203
USIWE FUNDI GARAGE KUPOKEA WANAWAKE WALIOHARIBIKA HUKO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Nitaendelea kuwamezesha Doctrines kilazima lazima mpaka wenye vichwa ngumu muelewe.
Usijikute Fundi Mechanics, Fundi garage wa wanawake wabovu, waliojiharibu, kuharibiwa au kuharibika. Hiyo kazi sio yako.
Hiyo kazi muachie Yesu Kristo, Yeye ndiye alisema wamfuate wenye mizigo na wanaoelemewa na wanaohitaji marekebisho makubwa. Kwani yeye ni Fundi Garage.
Usibebe mizigo ya wanawake waliokwisha kuharibiwa huko au kujiharibu huko.
Usitake kujua past yao, sijui ilikuwaje. Usipende kusikilize utetezi. Sio kazi yako.
Iko hivi, ukiwa maskini au huna lolote hao wanawake hawatakupa muda hata sekunde moja ya kujitetea, kujieleza
Nawe ndivyo unatakiwa uwe hivyo. Usiwe na muda wa kusikiliza mautetezi ya wanawake walioharibika. Wewe sio Mahakama ya Ndoa, sio jaji wa mapenzi.
Usitake kujua ilikuwaje.
Gari bovu liende iwa Fundi mekaniki. Sio wewe. Labda kama unalipwa.
Ukitaka kujua ninachokisema, nenda kwenye Garage yoyote. Kaa kwa dakika kumi angalia mafundi wanavyohangaika na magari mabovu, angalia walivyovaa, angalia wanavyogonga gonga vyuma, angalia walivyochafuka,
Hizo kazi utaziweza?
Fikiria kazi hiyo ya ufundi Garage ndio unafanya burebure. Ndivyo ilivyo kwa mwanamke aliyeharibika
Vijana jijengeni kwenye uchumi. Tafuteni maisha. Jiwekezeni.
Acheni kuharibu maisha na wanawake waliokwisha haribiwa.
Broken women ni kama sumu ya panya. Ni hatari kwenye maisha yako.
Broken Women, wanawake waliokwisha kuharibika kimwili, kihisia na kiakili hawatakupa Amani.
Kazi yako utakuwa kuvaa ma ovaroli kama fundi Garage. Kila siku kugonga gonna mavyuma yenye kutu.
Uliza fundi garage watakuambia jinsi kazi yao ilivyo ngumu hasa kutengeneza magari mabovu ya zamani. Mengine hata Spare parts kuzipata ni kazi. Kazi sana.
Kuwa na mwanamke aliyeharibika ni kama kuwa na gari bovu. Trip moja mchango Trip inayofuata Garage.
Wewe sio mbeba mizigo ya wanawake waliojiharibu na kuharibiwa. Hiyo sio kazi yako.
Na nikuhakikishie tuu. Hakuna faida yoyote utapata zaidi ya hasara na kujilaumu.
Wanawake wa hivyo wengi wao hawana shukrani. Kwanza unajishusha tuu bure.
Ni sawa na uvae nguo yenye viraka. Nguo iliyochanika chanika.
Wewe huko barabarani ukimwona mtu aliyevaa nguo zilizochanika chanika na zenye viraka utamchukuliaje kama sio Chizi na kichaa.
Ndivyo ilivyo ukichukua wanawake waliojiharibu. Mambo yanaenda hivyo.
Ujumbe, wanaume msijidhalilishe na kubeba Takataka wakati vipo vitu visafi na heshima.
Kwa wanawake, mjitunze na mjilinde msichakazwe is kujichakaza ili msiwe magari mabovu.
Kwa wale walioharibiwa najua mada za namna hii zitawauma lakini sitajali kama ninyi hamkujijali.
Mnaweza kutukana na kuchukia kama sehemu ya reaction na Maputo ya kile mlichokifanya. Mimi sitajali.
Kwa wanaume waliojipa uhusika wa ukichaa na uchizi nanyi mnaruhusiwa kutukana, na kuonyesha hasira zenu. Hakuna atakayejali kama hamkujijali.
Nimemaliza.
Sabato Njema.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam