Hivi huyu fundi nimfanye nini!!

Hivi huyu fundi nimfanye nini!!

Mafundi wa kibongo kila kitu anajua,kupaua,kujenga,rangi,tailiz,umeme,kutengeneza mifumo ya maji....wizi mtupu.
 
mpige
punch.png
au
gun.png
kama huna chukua
hocho.png
ukimaliza
running.png
Natamani nimbebee sururu dadeki kanitia hasara sana
 
Kuna fundi aliunganisha soketi nyumbani ile sehemu ya earth wire akaweka akaweka waya wa live,afu waya wa earth akaweka sehemu ya live wire......basi kila tukitaka kuitumia soketi hyo circuit breaker inajizima
Hahaaa wabongo wanafosi vitu wasivyoviweza
 
Igeuze iwe style mpya tu mana hakuna namna
 
Mruhusu awe mpangaji wako kama yeye atamudu kukaa!
 
Mkuu pole sana, kwani ulimbiwa hizo ndio kazi zake au aliitafuta mwenyewe hiyo kazi au ilikuwaje ukampa kazi mtu wa hivi!!?
Ila nimecheka sana
 
Mkuu huyu fundi nimemtoa kijijini nikampeleka site akawa anakaa huko huko materials nikamwachia na hela ya kutumia siku naenda kukugua ndo nakuta hali hiyo!!
Kutokana na maelezo hayo, huyo fundi yupo sahihi kabisa tena muongezee mshiko, maana amejitahidi sana.

Siyo kila aitwaye fundi from any where ni mtaalam wa ktk vifaa vya ujenzi. Huyo kazoea tope alafu unamleta hapo mh..!!
 
Kutokana na maelezo hayo, huyo fundi yupo sahihi kabisa tena muongezee mshiko, maana amejitahidi sana.

Siyo kila aitwaye fundi from any where ni mtaalam wa ktk vifaa vya ujenzi. Huyo kazoea tope alafu unamleta hapo mh..!!
[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom