Keyboard sio ya kupandisha picha tu pia inatumika kuandikia. Sasa kwa nini usiandike maneno machache kuelezea Hiyo picha? Ukiandika pia tueleze ulilipa mpunga kiasi gani kwani inawezekana kazi uliyotuonyesha inaendana na hela uliyolipa.
Mkuu huyu fundi nimemtoa kijijini nikampeleka site akawa anakaa huko huko materials nikamwachia na hela ya kutumia siku naenda kukugua ndo nakuta hali hiyo!!Keyboard sio ya kupandisha picha tu pia inatumika kuandikia. Sasa kwa nini usiandike maneno machache kuelezea Hiyo picha? Ukiandika pia tueleze ulilipa mpunga kiasi gani kwani inawezekana kazi uliyotuonyesha inaendana na hela uliyolipa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]naona amesoma physics mambo ya friction, sio mbaya
New fashion
Hata mimi!Hadi nimecheka kwa sauti! Du pole mkuu