Hivi huyu fundi nimfanye nini!!

Hivi huyu fundi nimfanye nini!!

Hapana sio bangi, ,hiiinatokana na ugumu wa maisha mtu mzima kawaza bila ya kupata jibu akaamua Kuwa hawe fundi japo hana experience na hiyo fani!!
 
hii kali nadhani huyo sio fundi bali mwanafunzi wa chekechea..
 
Mkuu huyu fundi nimemtoa kijijini nikampeleka site akawa anakaa huko huko materials nikamwachia na hela ya kutumia siku naenda kukugua ndo nakuta hali hiyo!!
Fundi wa kijijni hapo atakuwa amejitahidi sana. Mlipe kama ana kudai halafu rudisha kwao kama jamaa wa mwenge walivyorudishwa. Kisha ajiri fundi wa mjini.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuwa mpole
 
Si walisema kati ya watu 4 mmoja anamatatizo ya akili
we mbona hukumpima kabla..?
 
Mpe ganda la ndizi ateleze [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Fundi hakosei, huo ni mtindo mwingingine wa ubandikaji, kwani we si ulimpa kazi kwa kumfahamu?
Au we unajua hata mchonga kinu ni seremala?
 
Tatizo wewe ulimwambia hizo zinaitwa tiles(tailz) yeye akadhani ni sawa na tyres (tairi) akaweka "kashata" juu.Hahahahaa.... aseee mkuu natania.
 
Mkuu huyu fundi nimemtoa kijijini nikampeleka site akawa anakaa huko huko materials nikamwachia na hela ya kutumia siku naenda kukugua ndo nakuta hali hiyo!!
Kijijini ulikomtoa wanaweka tiles?
Jilaumu wewe mwenyewe
 
Kwa nini ulienda chukua fundi kijijini wakati wa mjin wapo kibao tu????
Ulifata cheap lkn unajikuta umeingia gharama kubwa kuliko ulivotarajia!!!!
Pole xn mkuu
 
Au anakudai mkuu unamzungusha, akaamua liwalo na liwe?
 
Keyboard sio ya kupandisha picha tu pia inatumika kuandikia. Sasa kwa nini usiandike maneno machache kuelezea Hiyo picha? Ukiandika pia tueleze ulilipa mpunga kiasi gani kwani inawezekana kazi uliyotuonyesha inaendana na hela uliyolipa.
Mkuuu huon tiles zimegeuzwa juuu chini???
 
Kwa nini ulienda chukua fundi kijijini wakati wa mjin wapo kibao tu????
Ulifata cheap lkn unajikuta umeingia gharama kubwa kuliko ulivotarajia!!!!
Pole xn mkuu
Mkuu ndugu yake na hyo fundi ndo kaniponza yaani aliniomba chondechonde nisimnyime hiyo kazi nikamuuliza vipi alishafanya tena hiyo kazi?? Ndugu yake akaniaminisha kuwa ndo fan yake sasa nimemwita kaniandikia materils nikaleta nimemkabithi hatimae siku naenda kukagua ndo nimekuta hivyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom