Hivi huu ni ushamba au? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi huu ni ushamba au?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by mysteryman, Oct 21, 2011.

 1. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hivi kung'ang'ania siti ya dirishani katika mabasi ni ushamba au ni nini? Jamaa katoa macho mpaka jasho linamtoka kisa apishwe eti yeye siti yake ni ya dirishani duh....tueleweshane tafadhali
   
 2. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Mi mwenyewe huwa najisikia raha sana nikikaa siti ya dirishani kwasababu naweza kuona miti inavyokimbia. Pembeni ni kuzuri ndiyo maana hata vitanda navyo hukaa pembeni
   
 3. h

  hayaka JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  sio ushamba, kwanza siti za dirishini husumbuliwi eti sogea kuna anayetaka kushuka, isitoshe unapata chance nzuri ya kufurahia mandhari ya dunia kupitia dirishani.
   
 4. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hahahah mwita25 umenikumbusha ile nyimbo ya mpoto....bt all in all ukikaa kokote si utafika tu
   
 5. k

  kisokolokwinyo Member

  #5
  Oct 21, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 63
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  binafsi pia napenda dirishan kwani unaweza kukutana na mtu mnene na ww wa pembeni umekaa **** moja mwanzo mwisho!
   
 6. P

  Punguli Member

  #6
  Oct 21, 2011
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 76
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wengne wanakmbilia hewa, unakta ktokana na wa2 wakijaa inakuwa n her kupata cti ya dirshan!
   
 7. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #7
  Oct 21, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Siti ya dirishani ni nzuri,tatizo ni pale unapo kuta m2 alie kaa hiyo siti sio mstaarab kafunga dirisha ukimwambia afungue kusudi mpate hewa anakwambia upepo unambuguzi!
   
 8. NEW NOEL

  NEW NOEL JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2011
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 837
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  Kama ni siti yake unapaswa kumpa. kwa sababu ni haki yake.
  Ila watu wengi wanapenda siti za dirishani kwa sababu kuna hewa ya kutosha.
   
 9. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #9
  Oct 21, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  dirishani kuzuri unaweza kutana na unaemjua akakulipia nauli!!
   
 10. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #10
  Oct 21, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  wachangiaji kwenye thread hii wamenifurahisha sana, mwita anasema kukaa dirishani ni raha sana ndo maana hata vitanda tunaviweka ukutani (hili sina uhakika nalo sana).

  Tuache utani siti ya dirishani ni nzuri sana, mojawapo ya faida zake ni afya ya macho kwa kuangalia mazingira ya nje.

  Hata kwenye ndege huwa tunapenda siti za dirishani, ili kufaidi view ya nje. Ukienda nchi zingine, kuna additional charge ukitaka kukaa siti ya dirishani.

  Aiishii hapo tu, hata madarasani, wanafunzi wanang'ang'aniana kukakaa siti za madirishani. Hata maofisini, ma CEO wanajichagulia kukaa ofisi ambazo zina view nzuri kwa nje.

  Infact siti za madilishani zina refresh akili na kuondoa stress.
   
 11. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #11
  Oct 21, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,111
  Likes Received: 3,031
  Trophy Points: 280
  huwa kuna biashara kama mayai ya kuchemsha,mahindi ya kuchoma, machungwa na hata karanga vinauzwa, hivyo ni rahisi kuvinunua ukiwa safarini endapo utakuwa umeketi dirishani
   
 12. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #12
  Oct 21, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hahaha ushamba huo
   
 13. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #13
  Oct 21, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Siti ya dirishani haina usumbufu wa ''naomba kupita'' au kukanyagwa na ayezunguka kwenye basi.
  Unaona mazingira....
  Ukitaka upepo unaupata bila kumwomba mtu mwingine afungue dirisha.
  Ukikaa na mtu ambae harufu yake sio nzuri hutoteseka..iliwahi kunitokea hii nimewekwa kati na sijui walikua waMassai wale..NILIKOMA!!
  Rahisi kununua vitu njiani...
  Ukihitaji kujiegemeza unajiegemeza dirishani..
  n.k
   
 14. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #14
  Oct 21, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,907
  Likes Received: 203
  Trophy Points: 160
  naomba ku-declare interest, umenitukania ndugu zangu, appology will be accepted...
   
 15. k

  kisukari JF-Expert Member

  #15
  Oct 21, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,753
  Likes Received: 1,038
  Trophy Points: 280
  huna vya kuniambia kwa siti ya dirishani,upepo mwanana,nikisafiri siti ya dirishani husaidia kujiegemeza pembeni bila ya kumsumbua ninaekaa nae.kwenye ndega hali kadhalika,siioni raha ya safari kama sijakaa dirishani.huhisi kama nimepoteza hela yangu kama sijapata siti ya dirishani
   
 16. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #16
  Oct 21, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Mimi napenda siti ya kati halaf kulia na kushoto kuwe na warembo (wasiwe na vikwapa) wananipa ujoto ujoto, hehehe nakuwa naomba basi liharibike njiani ili tusfike.
   
 17. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #17
  Oct 22, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,969
  Likes Received: 2,963
  Trophy Points: 280
  Wanapenda siti za dirishani ili waweze kushangaa mandhari ya nje, ili wakifika kwao wapate cha kuongea.
   
 18. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #18
  Oct 22, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,522
  Likes Received: 1,005
  Trophy Points: 280
  Dirishani si mchezo hasa ukiwa unasoma kitabu kizuri, huku
  unapata hewa safi toka nje!
   
 19. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #19
  Oct 22, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Inawezekana hata tunda la mti wa kati unalipenda zaidi, wenzako wote dirishani wewe kati halafu uwe na warembo tena sharti wasinuke vikwapa!
   
 20. africa6666

  africa6666 JF-Expert Member

  #20
  Oct 22, 2011
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 281
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Dirishani kuzuri, kama ukiwaona jamaa zako hata kama wako mbali unawaita ili wakuone unasafiri
   
Loading...