Kupostiana status huu ushamba nani aliuleta? Nini objective yake?

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,669
Reaction score
140,300
jaden_home_store_a5fab655c66b46a9955d3c7cb9e8f119.jpg

Mambo ya kupostiana nayachukulia kama kuchapisha taarifa binafsi na kwenda kuzibandika kwenye miti ya mtaani kwenu. Yaani ili kuonyesha mkeo unampenda sana basi unaandika tangazo I love you my wife, unaenda kubandika kwenye kuta zote za kijiji na mbao za matangazo. Huu ndio uhalisia wake.

Sasa huu ni ushamba mwingine wa kawaida kabisa. Nani alileta huu ushamba?

Huu ushamba unatuletea kero Mamasta kuonekana mbona haukomenti status zangu? Mbona hujapost happy birthday ya mtoto? Mbona hunipost? Pumbavu kabisa

Mwanaume mzima na akili zako unampost mkeo status, nini malengo yako? Unamnadi ama vipi? Cant you text her i love you, haitoshi?

Kwa hiyo, ili kuondoka na hii kero, nilichagua kumute whatsapp status zooote, kasoro wale tu wanaopost matangazo ya biashara au nasaha za Mungu.
 
View attachment 3698954

🤔🙃😅😅😅
 
Naunga mkono hoja..

Mimi nikifikia hiyo stage labda nipost maneno mazuri kwake na sio nimpost mwenyewe kila mtu amuone hilo siwezi kamwe
 
Kuna kamchepuko nilijuaga kana akili nikawa nakafukuzia ,ila kalikuwa kanaringa kiasi hadi nikaona huenda kakanisaidia kwenye mishe zangu.

Kuna siku kakanieleza matatizo yake huku kakitaka nikasaidie kiasi cha pesa fulani,sikuwa na maneno mengi nikampa mara mbili ya kiasi alichoomba,kalifurahi huku kakiomba nikatumie picha ,nikauliza za nini Kakajibu wewe tuma tu.

Sikutuma

Baada ya dakika kama kumi nikaona status maneno na sifa kibao na kujibebisha kwingi, nikaona haka nipige chini maana naweza unguza nyumba,hebu fikiria angenipost Sura yangu
 
View attachment 3698954

Mambo ya kupostiana nayachukulia kama kuchapisha taarifa binafsi na kwenda kuzibandika kwenye miti ya mtaani kwenu. Yaani ili kuonyesha mkeo unampenda sana basi unaandika tangazo I love you my wife, unaenda kubandika kwenye kuta zote za kijiji na mbao za matangazo. Huu ndio uhalisia wake.

Sasa huu ni ushamba mwingine wa kawaida kabisa. Nani alileta huu ushamba?

Huu ushamba unatuletea kero Mamasta kuonekana mbona haukomenti status zangu? Mbona hujapost happy birthday ya mtoto? Mbona hunipost? Pumbavu kabisa

Mwanaume mzima na akili zako unampost mkeo status, nini malengo yako? Unamnadi ama vipi? Cant you text her i love you, haitoshi?

Kwa hiyo, ili kuondoka na hii kero, nilichagua kumute whatsapp status zooote, kasoro wale tu wanaopost matangazo ya biashara au nasaha za Mungu.
Wewe sema tu ulitaka kutuonesha hiyo picha hapo juu, inaonekana ni meme umeipenda ukataka kushare na wanaJF lakini ukakosa maneno ya kuisindikizia, ukaamua kujifanya unataka kukandia watu wanaopost status
 
Kila siku nipo kwenye migogoro ya kwanini hunipost wakati anaona kabisa tangu amekutana na mimi sijawahi kuwa hata na ile dalili ya kuelekea kupost chochote! Hao masimp ndo wanasababisha tunaonekana hatupendi.

Halafu kuna na wale wanaomuomba au kumshukuru Mungu kwenye status wakati Mungu hana WhatsApp! Ukisali faragha huko ukaongea na Muumba wako kimyakimya au kama mlokole ukapiga gombo na kunena kwa lugha huko chumbani au kanisani unapungukiwa nini hadi ukatumie WhatsApp kuwasiliana na mtu ambaye unafahamu kabisa hajawahi kumiliki hata kiswaswadu cha motorola?
 
Back
Top Bottom