Hivi huu ni ushamba au?

ndani ya basi kuna ma harifu ya viatu, makwapa na perfume za aina mbali mbali, bora siti la dirishani bwana. tena nisipo kaa dirishani nitawapungiaje watu wajue leo nasafiri nimepanda basi?
 
Mimi nahuruma sana kwa wazee na wajawazito au mwanamke aliyepanda na mtoto mdogo muda mwngne nakuwa nimejichokea hvyo nakaa siti ya dirishan ili nisibuguziwe na nisiwapishe hao watu niliowataja maana mimi nakuwa nipo nao mbali
 
Back
Top Bottom