mshikachuma
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 2,853
- 626
Jamani, mwenzenu nashindwa kuelewa. Hivi hizi inchi za Kiarabu zimekumbwa na masahibu gani? Naona kila siku ni vita za wenyewe kwa wenyewe na watu wanazidi kufa.
Yaani ukiangalia Afighanstan wanauana.
Pakistan wanauana
Siria wanauana
Egypt ndiyo usiseme! Wanauana kama kuku...hadi sasa watu karibu 800 washauana.
Jamani! Tatizo ni nini? Hizi nchi za Kiarabu zimekumbwa na maswahibu gani? Mbona wanauana kila kukicha?