List ya nchi za kiarabu zilizofungia movie ya barbie kuonyeshwa kwenye cinema yazidi kuongezeka

caidah

Senior Member
Aug 17, 2017
110
153
Umoja wa Falme za Kiarabu (the united arabic Emirates) ulikuwa wa kwanza kutekeleza marufuku hiyo Hii ilifuatiwa na Saudi Arabia na Pakistan

Hivi karibuni Algeria nayo imeungana na nchi za kiarabu katika marufuku hiyo japokuwa kwa Algeria movie ilishaanza kuonyeshwa cinema kwa wiki kadhaa.

Pia Mamlaka nchini Lebanon iliamua kupiga marufuku movie ya "Barbie" kuonyeshwa kwenye cinema nchini humo ikisema inapromote mapenzi ya jinsia moja na inakiuka maadili ya taifa.

Waziri wa Utamaduni wa Lebanon aliipiga marufuku filamu hiyo kutoka kumbi za cinema, hii ni baada ya kuchelewesha tarehe ya kutolewa hadi mwishoni mwa mwezi wa nane akisema inakinzana na "maadili na maadili ya kidini pamoja na kanuni za Lebanon,"

Vietnam pia iliipiga marufuku movie ya barbie kutokana na sababu za kisiasa,

Vietnam wanadai picha ya ramani iliyotumika kwenye movie hiyo inaonyesha sehemu ya bahari ambayo kwa miaka mingi ilikuwa kwenye migogoro ya mipaka kuwa ipo China

Japo warner bros studio walikanusha na kusema ramani hiyo haikukusudiwa kutoa taarifa ya aina yoyote
View attachment 2726142View attachment 2726141
images%20(16).jpg
 
View attachment 2726142View attachment 2726141View attachment 2726143
Fafanua content za hiyo movie tuelewe
 
Sawa Ila bongo haitapigwa marufuku ikitua hadi mtoto wa miaka 3 ataiangalia
 
Na nasikia imeingiza pesa nyingi zaidi haya bajeti ya baadhi ya hizo nchi kwa mwaka.
 
Umoja wa Falme za Kiarabu (the united arabic Emirates) ulikuwa wa kwanza kutekeleza marufuku hiyo Hii ilifuatiwa na Saudi Arabia na Pakistan

Hivi karibuni Algeria nayo imeungana na nchi za kiarabu katika marufuku hiyo japokuwa kwa Algeria movie ilishaanza kuonyeshwa cinema kwa wiki kadhaa.

Pia Mamlaka nchini Lebanon iliamua kupiga marufuku movie ya "Barbie" kuonyeshwa kwenye cinema nchini humo ikisema inapromote mapenzi ya jinsia moja na inakiuka maadili ya taifa.

Waziri wa Utamaduni wa Lebanon aliipiga marufuku filamu hiyo kutoka kumbi za cinema, hii ni baada ya kuchelewesha tarehe ya kutolewa hadi mwishoni mwa mwezi wa nane akisema inakinzana na "maadili na maadili ya kidini pamoja na kanuni za Lebanon,"

Vietnam pia iliipiga marufuku movie ya barbie kutokana na sababu za kisiasa,

Vietnam wanadai picha ya ramani iliyotumika kwenye movie hiyo inaonyesha sehemu ya bahari ambayo kwa miaka mingi ilikuwa kwenye migogoro ya mipaka kuwa ipo China

Japo warner bros studio walikanusha na kusema ramani hiyo haikukusudiwa kutoa taarifa ya aina yoyote
View attachment 2726142View attachment 2726141View attachment 2726143
Hii movie nasikia ilisababisha Rangi za pink kwenye soko la Dunia zipotee..

Niliacha kuangalia baada ya kusikia hivyo
 
Back
Top Bottom