Hivi hizi nchi za Kiarabu zina nini?

Status
Not open for further replies.

mshikachuma

JF-Expert Member
Dec 2, 2010
2,853
626
Jamani, mwenzenu nashindwa kuelewa. Hivi hizi inchi za Kiarabu zimekumbwa na masahibu gani? Naona kila siku ni vita za wenyewe kwa wenyewe na watu wanazidi kufa.

Yaani ukiangalia Afighanstan wanauana.
Pakistan wanauana
Siria wanauana
Egypt ndiyo usiseme! Wanauana kama kuku...hadi sasa watu karibu 800 washauana.

Jamani! Tatizo ni nini? Hizi nchi za Kiarabu zimekumbwa na maswahibu gani? Mbona wanauana kila kukicha?
 
waarabu ni watu mashujaa sana,wana akili sana wana uchumi mzuri sana,tatizo lao kubwa ni kwamba waarabu ni rahisi sana kupandikiziwa fitna.wanapandikiziwa fitna afu wanaanza kufitiniana wao wa kwao.kama unavyojua utawala ukisha fitinika tu,hapo ndo kwishney
 
Jamani, mwenzenu nashindwa kuelewa. Hivi hizi inchi za Kiarabu zimekumbwa na masahibu gani? Naona kila siku ni vita za wenyewe kwa wenyewe na watu wanazidi kufa.

Yaani ukiangalia Afighanstan wanauana.
Pakistan wanauana
Siria wanauana
Egypt ndiyo usiseme! Wanauana kama kuku...hadi sasa watu karibu 800 washauana.

Jamani! Tatizo ni nini? Hizi nchi za Kiarabu zimekumbwa na maswahibu gani? Mbona wanauana kila kukicha?
Sio waarabu tu wanauana.
DRC wanauana na kubaka wanawake kila kukicha
Nigeria huko nako sasa hivi kila siku wanauana
Colombia kama kawa
Na kwengineko kwingi tu
 
Nchi nyingi za Kiarabu hapo nyuma zilikuwa na utawala wa kifalme,hadi walipokuja akina Gamal Nasser akaupindua utawala wa kifalme wa Misri na hapo ndio ilianza Arab spring,lakini wakati huo wakakumbwa na matatizo ya Wapalestina na Israel,hivyo watawala wapya ambao wengi walikuwa ni wanajeshi waliwambia wananchi wao kuwa adui wao mkubwa ni Israel,kuwa ukombozi wa waarabu ni mpaka Palestina itakapo kuwa huru,lakini siku zinavyozidi kusogea wanagundua hawa watawala wapya wamegeuka wafalme,shida ipo hapo.
 
Jamani, mwenzenu nashindwa kuelewa. Hivi hizi inchi za Kiarabu zimekumbwa na masahibu gani? Naona kila siku ni vita za wenyewe kwa wenyewe na watu wanazidi kufa.

Yaani ukiangalia Afighanstan wanauana.
Pakistan wanauana
Siria wanauana
Egypt ndiyo usiseme! Wanauana kama kuku...hadi sasa watu karibu 800 washauana.

Jamani! Tatizo ni nini? Hizi nchi za Kiarabu zimekumbwa na maswahibu gani? Mbona wanauana kila kukicha?

Nadhani ni nchi pia zinazoamini katika kulipiza kisasi matokeo yake hata kama tatizo lilikuwa la muda linakuwa la kudumu maana katika kulipiza kisasi kila upande unaona una haki ya kulipiza and it goes on and on and on to generations and generations. Ili kuzuia hali hiyo ni kusameheana kitu ambacho ni kugumu kwa baadhi ya madhehebu ya dini maana si sehemu ya mafundisho yao. Mafundisho yao yanataja bayana "kulipiza kisasi" kama sehemu ya religious practice.
 
Sio waarabu tu wanauana.
DRC wanauana na kubaka wanawake kila kukicha
Nigeria huko nako sasa hivi kila siku wanauana
Colombia kama kawa
Na kwengineko kwingi tu

Kwa mfano swali limeulizwa: Mbona huyu jamaa mjinga sana? Halafu linajibiwa: Sio yeye tu, hata jirani yake ni mjinga! Sidhani kama swali litakuwa limejibiwa. Tuache ujinga wa "ku-balane mambo" kisa tu hoja inachoma na inawahusu "vitukuu vya mtume".
 
Sio waarabu tu wanauana.
DRC wanauana na kubaka wanawake kila kukicha
Nigeria huko nako sasa hivi kila siku
wanauana
Colombia kama kawa
Na kwengineko kwingi tu
Lakini media nyingi zinaonesha sana Uarabuni kuliko huko unakosema
 
Kwa mfano swali limeulizwa: Mbona huyu jamaa mjinga sana? Halafu linajibiwa: Sio yeye tu, hata jirani yake ni mjinga! Sidhani kama swali litakuwa limejibiwa. Tuache ujinga wa "ku-balane mambo" kisa tu hoja inachoma na inawahusu "vitukuu vya mtume".
Shukran kwa mtazamo huo wako
 
Kwa mfano swali limeulizwa: Mbona huyu jamaa mjinga sana? Halafu linajibiwa: Sio yeye tu, hata jirani yake ni mjinga! Sidhani kama swali litakuwa limejibiwa. Tuache ujinga wa "ku-balane mambo" kisa tu hoja inachoma na inawahusu "vitukuu vya mtume".

Well said dudus! Mara nyingi tunajilinganisha na wengine katika maovu na siyo katika mema. Wengine wadiriki hata kusema "hata ulaya mambo haya yapo". What nosense!
 
ukitafakari utaelewa.....ila usi husishe dini direct.
Haihusiki direct lakini inahuisika! Wengine wanaona wenzao kuwa uislamu wao haukukamilika kwa kuwa hawapambani na makaffir na wengine ni wapambanaji. Wasio wapambanaji lazima wangolewe madarakani. Sio direct lakin ni indirect!
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom