Hivi hizi nchi za Kiarabu zina nini?

Status
Not open for further replies.
Tatizo la waarabu si kwa sababu ni waarabu,bali ni kuwa wakazi wa middle east,eneo linalobeba historia na mustakabali wa binadamu.miaka mingi kabla ya waarabu kuwa jamii maarufu zilipita jamii nyingine hapo ambazo nazo mwendo ulikuwa huo huo.wayahudi nao wakaja,mwendo ukawa huo huo.leo hii ni wayahudi na waarabu.jamii hizi na ardhi wanayoikaa ni encyclopedia ya binadamu.pili,utajiri wa mafuta ni tatizo jipya katika karne hii!blame it to the one who turned oil into fuel!
 
Ninachomaanisha kuwa mleta mada lengo lake ni kuinanga jamii flani ambayo ni waislam, angekuwa lengo lake kuzungumzia nchi asinge bagua na kuzitaja nchi za kiarabu pekee, mbona drc hakuitaja? ndo namwambia kama anataja matukio yaliyotokea mckitn basi nami nataja yaliyotokea kanisani na mwisho wa mada kama hizi ni kuharibiana hadi kitaa, hakuna kufuta wala kudelete.
Kuharibiana hadi kitaa kwa ajili ya nini?
Wewe hukutakiwa kumtetea muuaji anaevaa bomu kwa sababu eti Kibwetele naye aliua watu.
Huyo Kibwetele na mvaa bomu wote ni wauaji tu hawapaswi kuungwa mkono, mimi na wewe tuwapinge hadharani watu wa aina hiyo.
 
Mkuu naona unataka kunigeuzia kibao ili watu wanione tofauti.
Sitaki kuongea maneno mengi. Naomba uwaangalie Aljazeera sasa hivi ndipo utajua kwanini nimeanzisha hii thread. Au Aljazeera nao ni wabaya na inawalenga watu wa jamii fulani?
Acha hizo mkuu
 
Kuharibiana hadi kitaa kwa ajili ya nini?
Wewe hukutakiwa kumtetea muuaji anaevaa bomu kwa sababu eti Kibwetele naye aliua watu.
Huyo Kibwetele na mvaa bomu wote ni wauaji tu hawapaswi kuungwa mkono, mimi na wewe tuwapinge hadharani watu wa aina hiyo.
To some extent mawazo yako na yangu yanarandana ila mleta mada ana lake jambo anajidai hizo tv zake zinaonesha mambo ya waarabu tu mambo mengine hayaoni na pia anajidai anahuruma kumbe mnafiki tu, anasahau kuwa tunaishi kwenye jamii mchanganyiko.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom