Ponera
JF-Expert Member
- Dec 3, 2011
- 556
- 87
Afghanistani walikua wametulia ila amerca alipovamia kwa kisingizio cha kumtafuta osama ndo alianzisha tatizo na kuwagawa wananchi wa afghan kwani kuna kundi la wamarekani na kundi la mullah omarJamani, mwenzenu nashindwa kuelewa. Hivi hizi inchi za Kiarabu zimekumbwa na masahibu gani? Naona kila siku ni vita za wenyewe kwa wenyewe na watu wanazidi kufa.
Yaani ukiangalia Afighanstan wanauana.
Pakistan wanauana
Siria wanauana
Egypt ndiyo usiseme! Wanauana kama kuku...hadi sasa watu karibu 800 washauana.
Jamani! Tatizo ni nini? Hizi nchi za Kiarabu zimekumbwa na maswahibu gani? Mbona wanauana kila kukicha?