Hivi hizi nchi za Kiarabu zina nini?

Status
Not open for further replies.
Jamani, mwenzenu nashindwa kuelewa. Hivi hizi inchi za Kiarabu zimekumbwa na masahibu gani? Naona kila siku ni vita za wenyewe kwa wenyewe na watu wanazidi kufa.

Yaani ukiangalia Afighanstan wanauana.
Pakistan wanauana
Siria wanauana
Egypt ndiyo usiseme! Wanauana kama kuku...hadi sasa watu karibu 800 washauana.

Jamani! Tatizo ni nini? Hizi nchi za Kiarabu zimekumbwa na maswahibu gani? Mbona wanauana kila kukicha?

Imani yao ndiyo sababu kubwa .Chunguza utaona
 
Well said dudus! Mara nyingi tunajilinganisha na wengine katika maovu na siyo katika mema. Wengine wadiriki hata kusema "hata ulaya mambo haya yapo". What nosense!
Suala sio kujilinganisha na wengine ktk maovu.
Hoja yangu hapa ni kuwa....kila siku wanawake wanakuwa gang-raped kwa mamia kama sio maelfu na waume zao wanauawa kwa mamia hata maelfu kule DRC, DARFUR etc. lakini hakuna hata anae-pay attention!
Leo hii wakifa watu 5 sijui 10 huko Middle East ni kelele tupu BBC, CNN, Al Jazeera, FOX News etc......ama sababu ni wabantu?
What a hypocrisy!!
 
Hapa naangalia Egypti kupitia Al-jazeera. Yaani ni balaa tupu

Mwarabu sina huruma naye kabisa. Wacha wachinjane hadi watakapotia akili. Ukimkuta msomi hana tofauti na maamuma aliyeishia chuo kwa hoja za kishenzi na kibaguzi. ------- zao.
 
Hapa sasa naangalia mji wa Ismahiliya. Yaani wanauana Live bila chenga. Kama kuku
 
Kama ipi? Kwani waarabu hawana akili?
I have no idea. Ndio tujiulize ni kwanini mass gang-rapes in thousands na watu kuchomwa moto kule kwa ndugu zetu DRC hazionyeshwi lakini leo hii watu 200 wamekufa dunia nzima ni kelele tu.
Labda kwa sababu ni wabantu ndio maana hata mama zetu wakiwa gang-raped kule DRC kwa maelfu hizo media institutions hawajali
 
Jamani, mwenzenu nashindwa kuelewa. Hivi hizi inchi za Kiarabu zimekumbwa na masahibu gani? Naona kila siku ni vita za wenyewe kwa wenyewe na watu wanazidi kufa.

Yaani ukiangalia Afighanstan wanauana.
Pakistan wanauana
Siria wanauana
Egypt ndiyo usiseme! Wanauana kama kuku...hadi sasa watu karibu 800 washauana.

Jamani! Tatizo ni nini? Hizi nchi za Kiarabu zimekumbwa na maswahibu gani? Mbona wanauana kila kukicha?
Nchi za kiarabu ni mbili tu katika ulizotaja.
 
Kuna mji mwingine unaitwa Alexendria na Giza...nako naangalia hapa waarabu wanachinjana Live! Hata hawaogopi damu?
 
waarabu ni watu mashujaa sana,wana akili sana wana uchumi mzuri sana,tatizo lao kubwa ni kwamba waarabu ni rahisi sana kupandikiziwa fitna.wanapandikiziwa fitna afu wanaanza kufitiniana wao wa kwao.kama unavyojua utawala ukisha fitinika tu,hapo ndo kwishney
Wanafitinishwa na nani?
 
Mwarabu sina huruma naye kabisa. Wacha wachinjane hadi watakapotia akili. Ukimkuta msomi hana tofauti na maamuma aliyeishia chuo kwa hoja za kishenzi na kibaguzi. ------- zao.
Binadamu wote ni sawa hakuna mmbora, kila jamii ina watu washenzi na waungwana.
 
Mwarabu sina huruma naye kabisa. Wacha wachinjane hadi watakapotia akili. Ukimkuta msomi hana tofauti na maamuma aliyeishia chuo kwa hoja za kishenzi na kibaguzi. ------- zao.
Mkuu hapo unakosea.
Kila race hapa duniani kuna ubaguzi na si waarabu tu.
Hate can not drive out hate! Only love can do that
 
Alafu nimekumbuka kitu...ile siku ya Idd kuna mtu alijivisha bomu na akaingianalo msikitini na kujilipuwa katikati ya sala na kuuwa watu kibao. Hii ilitokea PakiLand
 
Wanataka nchi ziendeshwe kwa sharia. Ndilo hili ponda na wenzie wa uamsho zanzibar wanalipigania tz
 
Wengi tulisheherekea Idd El Fitr kwa pilau na tende!!!
Huko Iraq ,Wasunni walilipua bomu kuwalenga WaShia na zaidi ya watu 70 walikufa.

Can you imagine,siku ya XMAS ,say walokole (Pentecost ) wawaue Wakatoliki kwa suicide bombing eti Wakatoliki sio wakristu halali.KAMWE haitatokea

Ndio mapambano yapo katika ya Wasunni ambao wanadai Washia sio Waislamu kamili.
 
Threads za namna hii MODS wanazipenda hadi wana:target:
Kwani hii thread ina nini? Umemsoma mleta mada lakini.

Kama uamini angalia Media za kimataifa zote hasa hasa Aljazeera wanaonesha Live bila chenga Egypti na Syria wanavyo chinjana kama kuku
 
Wanataka nchi ziendeshwe kwa sharia. Ndilo hili ponda na wenzie wa uamsho zanzibar wanalipigania tz
Case ya Egypt ni ya utata sana.
Egyptians wenyewe walimtoa Hosni Mubarak eti sababu ni dictator. Fine.
The West preach about DEMOCRACY (FREE & FAIR ELECTIONS), Egyptians wakafanya uchaguzi na Morsi akachaguliwa.Hata mwaka haujaisha eti hafai. Hakutakiwa atolewe via coup. Egyptians walitakiwa wangoje hadi next presidential elections na watu waamue kumtoa via ballot.
Imagine leo hii Kikwete atolewe na jeshi via coup itakuwaje?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom