Mama mkwe kukaa kwa mwinga wake miezi 6 ,,jamani wake zenu wengi hawapendi hili kuna mdada nimemtembelea analalamika anasema mama mkwe wake yupo pale kwake mwezi unaenda huu wa sita anasema hana raha ya ndoa kabisaa kwani mama mkwe anakuwa anamsema kwa ndugu yaan maneno hayaishi ,sasa nachojiuliza ni haki mama mkwe kuishi kwa wanae muda mrefu kiasi kile hata kama ni mama mzazi,halaf mama mkwe kaacha kwake na mmewe kamuacha tu peke yake
Yaan mama mkwe kageuza imekuwa kwake ,,,kwenye ndoa kuna mengi jamanii
Au ni haki labda pengine wake zenu wanakosea ,
Umemaliza.Uko sawa mkuu...
Kama mama bado ana nguvu na ana mume wake arudi kwake akakae na mumewe misaada yote wapewe wakiwa kwao labda kama ni ugonjwa aje na atunzwe vizuri kama mama.
Pia huwezi fungal ndoa na mama yako wala Dada yako MPE Mke heshima anayostaili na asivuke mipaka
Kubali kwamba mama alikulea kweli lakini umeweka sahihi ya kuishi na mwanamke mwingine mpaka pale kifo kitakapowatenganisha..
Kubali kuwa hakuna anayemzidi thamani mwenzie[emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji15] wore wako sawa. Wape mipaka yao........
[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
Ana kwake na ni pazuri tu kajengewa na wanae,pia ana mme wake ye anataka akae kwa wanae tuUkilianglia haraka utasema ni haki, ila ukiliangalia kwa kina ni ngumu kumesa.
Why yupo hapo kwa muda wote huo na ana kwake alikoacha mumewe?
Haya mambo huwa magumu hivyo inahitaji busara kwa wooote(mkwe,mke na mume)
Wamekomaa kakuzaa miezi Tisa,I beg...I need a break. Yeye alimnyonyesha Hana meno Hata 15 mdomoni tunawanyonyesha now wanamimeno 34,mama walibeba wakati hawajazidi uzito hata kilo 50 now days wanafikia kuanzia 70 tena sio mgongoni vifuani. Aaghaa. Wamama wawege na heshima na nyumba za watu,tena Sana Sana ni wale wamama wasio elimika Hata elimu kidogo. Wengine wako wastaarabu Sana Hata hawapo hivo Yaani.Hili wengi hawalioni, wamekazania upande mmoja tu.
That's why mwanzoni nilitanguliza mila zinatofautina.ha haa hii inamaanisha kwako
Mke au wazaz wa mke n wa muhimu
Kuliko wazaz wako
Hii ya babu cjui bibi. Hii naona
Inategemea na makabila
Mila n destur zao
Yaaah wanakuaga hvoNi kweli kabisa, wengi wao hawapendi kuishi na ndugu wa mume. Loud and Clear.
Kila mzazi na uelewa wake ila ikitokea mama wa mume kaja kwangu nitaishi nae kwa upendo na amani mpaka atakapochoka mwenyewe sitafunua mdomo wangu.Hivi weww utakaa kwa mwanao mwezi mzima? Utakuwa unafanya nini?
Pana tatizo hapo kabisaaaaa.Ana kwake na ni pazuri tu kajengewa na wanae,pia ana mme wake ye anataka akae kwa wanae tu
Uko sawa mkuu...
Kama mama bado ana nguvu na ana mume wake arudi kwake akakae na mumewe misaada yote wapewe wakiwa kwao labda kama ni ugonjwa aje na atunzwe vizuri kama mama.
Pia huwezi fungal ndoa na mama yako wala Dada yako MPE Mke heshima anayostaili na asivuke mipaka
Kubali kwamba mama alikulea kweli lakini umeweka sahihi ya kuishi na mwanamke mwingine mpaka pale kifo kitakapowatenganisha..
Kubali kuwa hakuna anayemzidi thamani mwenzie[emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji15] wore wako sawa. Wape mipaka yao........
[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
Hivi unajua wanawake wakikaa sehemu moja,naomba kama umeoa mlete mama ako akae na mkeo muda mrefu utaniambiaa,kuna vitu unaweza fanya ni kawaida tu halaf mama mkwe akaona umemtendea vibayaaHuyo mama alimuweka tumboni huyo kijana kwa muda wa miezi tisa, na hakulalamika.
Na bado akamlea na kumlisha kwa mkono wake mpaka akapata ufahamu wa kukutana na hako kabinti.
Leo hii Mama ameamua akae na kijana wake aliyemzaa tena kwa muda wa miezi sita tu na hako kabinti kanaona kero?
Hahahah nyie wanawake bhana,
kwo mnataka afukuzwe au?
Nenda kamwambie huyo shosti wako afunge bakuli lake
Kama mkwe mstaarabu, anayajua mipaka yake na anaheshimu nyumba ya mwanae,hawezi kukaa muda wote huo kwa mwanae na hawezi kuanza kuleta shida kwa ndoa ya mwanae.Wamekomaa kakuzaa miezi Tisa,I beg...I need a break. Yeye alimnyonyesha Hana meno Hata 15 mdomoni tunawanyonyesha now wanamimeno 34,mama walibeba wakati hawajazidi uzito hata kilo 50 now days wanafikia kuanzia 70 tena sio mgongoni vifuani. Aaghaa. Wamama wawege na heshima na nyumba za watu,tena Sana Sana ni wale wamama wasio elimika Hata elimu kidogo. Wengine wako wastaarabu Sana Hata hawapo hivo Yaani.
Mkuu rogie hata leo nikienda kwetu siulizwi nimeenda kufanya nini ila kimawasiliano lazima mgeni nitambulishe ugeni wangu.
Kwa mama yako akija anaweka mabegi tu kwako bila kusema alichokuja kufanya? Kimawasiliano wakati wa salamu lazima aseme tu na hiyo ni formula iliyopo kichwani kwa kila binadamu. Huwezi kwenda kwa mtu bila kusema ulichoenda kufuata Aidha salamu matibabu elimu nk.
Ni waolewaji wa sasa tunajifanya wazungu tunaishi kizungu hatutaki wazazi wala ndugu, lkn hiyo sio haki kabisa.Sio busara wanawake mnatakiwa mjifunze. Maana kukaa huko ndio mnaanza kusengenyana mwisho mnagombana
Ni mtu mzima mwenye busara na anayejitambua na kuijua mipaka yake, lazima ajiongeze.Akisema nimekuja kutembea utamuuliza atakaa muda gani?
Haa haa haya mkuu labda nlielewa vbayaThat's why mwanzoni nilitanguliza mila zinatofautina.
Usser bwana haha.. sasa mzazi wangu kukaa kwangu ndiyo tafsiri ya mimi kumpenda kuliko binadamu yeyote duniani?
Hiyo text uliyoniqoute please ifuteee mkuu au ueidt ubakize dot dot...
Kwa upande wangu mimi atakaa mpka atakapochoka hata kama ana kwake kwani ni haki yake.JE kama ana kwake na hana maradhi ya kiafya ni haki kuishi kwa muda wote huo?