Hivi hii ni sawaa?

Hivi hii ni sawaa?

Mama mkwe kukaa kwa mwinga wake miezi 6 ,,jamani wake zenu wengi hawapendi hili kuna mdada nimemtembelea analalamika anasema mama mkwe wake yupo pale kwake mwezi unaenda huu wa sita anasema hana raha ya ndoa kabisaa kwani mama mkwe anakuwa anamsema kwa ndugu yaan maneno hayaishi ,sasa nachojiuliza ni haki mama mkwe kuishi kwa wanae muda mrefu kiasi kile hata kama ni mama mzazi,halaf mama mkwe kaacha kwake na mmewe kamuacha tu peke yake
Yaan mama mkwe kageuza imekuwa kwake ,,,kwenye ndoa kuna mengi jamanii

Au ni haki labda pengine wake zenu wanakosea ,
Mimi bado sijaelewa sijui nawengine nikama mimi make unadai nikwa mwenga sasa huyo mwenga yuko kivyake namaanisha walisha achana na mwanae au?
 
Mama mkwe kukaa kwa mwinga wake miezi 6 ,,jamani wake zenu wengi hawapendi hili kuna mdada nimemtembelea analalamika anasema mama mkwe wake yupo pale kwake mwezi unaenda huu wa sita anasema hana raha ya ndoa kabisaa kwani mama mkwe anakuwa anamsema kwa ndugu yaan maneno hayaishi ,sasa nachojiuliza ni haki mama mkwe kuishi kwa wanae muda mrefu kiasi kile hata kama ni mama mzazi,halaf mama mkwe kaacha kwake na mmewe kamuacha tu peke yake
Yaan mama mkwe kageuza imekuwa kwake ,,,kwenye ndoa kuna mengi jamanii

Au ni haki labda pengine wake zenu wanakosea ,
Hiyo ni sawa, sawasawa. Kwanini mnakua hivi dada zetu? Unamuonea wivu hadi mkwe, sipati picha wadogo zake.
 
espy ndio mama mkwe huyo unafanyaje huna jinsi dear inabidi tu muishi wote utamfukuza na ni kwa mwanae muache akichoka ataondoka
Kumfukuza huwezi ila ni sahihi? Hakuna anaemzuia kuishi kwa mwanae, ila anaishije ndi tatizo. Kumbuka pia kwake kamuacha mumewe eti!!
 
si sahihi kukaa mda mrefu sana sabbu ana kwake lkn hakuna jinsi ndio mama mzaa chema inabidi uvumilie tu hakuna namna
 
Sio busara wanawake mnatakiwa mjifunze. Maana kukaa huko ndio mnaanza kusengenyana mwisho mnagombana
Daby hapo usikute mwanamke ameshaongea sana kwa mumewe hakuna hatua yoyote utafanya nn utaondoka uwaachie nyumba au
 
si sahihi kukaa mda mrefu sana sabbu ana kwake lkn hakuna jinsi ndio mama mzaa chema inabidi uvumilie tu hakuna namna
My dear ni rahisi kuongea kama hayajakukuta, nimeshuhudia watu wakiteswa na wakwe hadi wanakimbia ndoa, hivyo mie hili sitaki kuliintertain kama tayari kuna figisu figisu.

Maybe kama yupo kimatibabu,au no way out, ila hivi hivi tu!!
Ile ya utawaacha wazazi wako uambatane na mumeo/mkeo ina maana sana.
 
espy sio hayajanikuta na uzoefu na hao watu dear ukiwajulia hawana shida ata kama wana matatizo yao ukiwachukulia kama wazazi wako waliokuzaa wenyewe wanajirudi
 
Hapana. Busara ni muhimu.

Huyo ni kumwacha aishi tu ila nikirudi kwenu hasa wew. Kwanini uishi kwa mwanao muda wote huo wote huna kwako? Kila nyumba ina mipango yake.
mm tena Daby nimefanyaje tena
 
Back
Top Bottom