Hivi hii kitu mmeshwai kupata experience nacho

Kumbe wenye mzanzibar umenikumbusha rafiki yangu mmoja anaitwa shufwaaa chuo , alikua ananiambia nikiwa ustadhi nitapendeza sana , bahati mbaya mimi pombe ni mwenyekiti 🀣🀣🀣
Kwanini unapenda pombe?? Uwe ostadhi bhana😁
 
Nimewafundisha vyema watoto wangu!!
Hawawezi kutaka kitu from nowhere,

Nimewafundisha chochote wanachotaka lazima waombe na kwenye kuomba kuna option mbili, kukubaliwa au kukataliwa.

They respect that. Hakika hatuna usumbufu
 
😁😁😁,Niliweka baada ya kunguni wa jf mmoja kunipa habari ya mie Cha wote🀣🀣🀣,

Kumbe bhana mwenyewe sijijui kama nawasambazia upendo ma bro wa jf
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ndo mie niliweka status tsup, baada ya kupewa ubuyu wa moto, eti najitongozesha kwa jamaa fulani afu ni mume wa mtu..

Cha ajabu huyo jamaa, sina mawasiliano wala mazoea nae, ile salamu bas, hadi nikawaza hii in4 imelink vipi, sema jamaa ana heshima zake, nimeamua kukausha, vinginevyo ningemfata anieleze vizurii. Na nililvyo chizi angefurahi mbona.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yaani🀣🀣, sometimes unaweza jiona umevaa nguo kumbe wanazengo wanakuona upo uchi😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…