Hivi hii kitu mmeshwai kupata experience nacho

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,488
Reaction score
65,832
Una amua kutoka na mtoto matembezi ya kwaida una kutana na wafanya biashara hawa labda anauza vidoli vya kuchezea watoto huna ratiba na kununua iko yeye ana enda mpa mtoto achezee kumuonjesha mtoto una mkataza ataki ana anza kukupigia kelele za kilio kitu cha 2000 mtu ana kuambia 5000 kwasababu tu mtoto kalilia sasa mm nime chukua hatua ya kumpa iyo 2000 na kusepa chap hii kitu ina kela au ni mimi tu
 
Mfundishe mtoto wako kuwa mvumilivu na uende ukamnunulie hicho cha buku mbili.Mtoto akiwa mbishi na kulialia hovyo,mpe kwenzi la kispoti aache ujingaujinga.
 
Back
Top Bottom