Hivi hawa watu wanalipwa na hizi redio?

Kuna mwingine Jina limenitoka yaan yeye akianza kuongea anasema Halo Halo Halo Halo Halo kwa sauti ya kukwaruza kwaruza utazani redio inapoteza frequency kumbe ni sauti ya mtu, pia kuna yule mama yupo Mkuranga Sheli ya Njano jina limenitoka pia kuna mwingine amevuma mpaka akachukuliwa kwenye kipindi Cha Radio kabisa Tena alianzia mtaani tu kuponda ponda kero sasa akachukuliwa km expert wa Mambo ya mtaani Clouds hao walimchukua anaitwa Zai
Hawa nahic hawasikilizagi radio muda wote ila ikifika muda anatuma txt hata km yupo mbali na radio haiwezekani unamsikia radio free ukibadili clouds unamkuta ukibadili radio one unamkuta
 
Hawa nahic hawasikilizagi radio muda wote ila ikifika muda anatuma txt hata km yupo mbali na radio haiwezekani unamsikia radio free ukibadili clouds unamkuta ukibadili radio one unamkuta
Unaelewa maana ya Salamu Club ?
 
Kuna kipindi nilikuwa nikisikiliza radio hukosi simu au message za hawa watu katika kipindi chochote;

1. Mwalimu Kennedy mpemba kutoka Kahama hasa kwenye DW
2. Hamisi full migebuko kutoka kigoma
3. Daudi wa kota
4. Salma Msangi kutoka Dodoma
5. Kuna mwingine Filbert japo jina la mwisho nimesahau hutuma sana DW
Kama tunavyoiganda jf hapa tu mkuu ni mapenzi ya dhati
 
dw
filbet Jonathan
jafari kopo
wengine nimewasahau Mana redio niliacha kusikiliza tangu 2020
watangazaji wa dw umul kheir
idisesanga Amina abubakar sudi mnete😅😅niliwapenda sana

natamani miaka irudi nyuma nisikilize redio na kuchek tv Mana huu ubuze huu dah.
Ww ndio umetaja vyema nilikuwa nashindwa kumalizia jonathan
 
Back
Top Bottom