Acha wivu weweWakuu, habarini za mchana,
wakuu, hawa magamba wana nini na watu wa moshi, et wamefunga barabara tangu asubuhi napia wana zunguka mitaani wakitangaza na kujisifu kua wana wapongeza watu wa igunga, wakuu mi naona kama wana tuchokoza watu wa moshi, au wanataka kesho waanze kusema tume wapiga na kuwa vua nguo? ni vizuri wa navyofanya kuwa pongeza watu wa igunga nje ya igunga? Natamani kusikia wanacho kisema kwenye kikao cha leo ambacho kimefanya mpaka manispaa wakatufungia barabara kwa ajili ya hawa magamba,
Wakuu, habarini za mchana,
wakuu, hawa magamba wana nini na watu wa moshi, et wamefunga barabara tangu asubuhi napia wana zunguka mitaani wakitangaza na kujisifu kua wana wapongeza watu wa igunga, wakuu mi naona kama wana tuchokoza watu wa moshi, au wanataka kesho waanze kusema tume wapiga na kuwa vua nguo? ni vizuri wa navyofanya kuwa pongeza watu wa igunga nje ya igunga? Natamani kusikia wanacho kisema kwenye kikao cha leo ambacho kimefanya mpaka manispaa wakatufungia barabara kwa ajili ya hawa magamba,
Itapendeza ukiweka takwimu za kura walizopata CDM na nafasi waliokua nayo tangu mwanzo na sasa.Ndio raha ya ushindi hiyo ! na ww kama vp jiunge nao tu. CDM mmewachukia wana igunga kwa vile wamewapotezea muda na pesa nyingi na hamkupata kitu. Jiunge nao kusheherekea.
Nenda kapate bia za bure kijana, ushindi wa CCM ni ushindi wa kila Mtanzania. Bangi zenu wala hazita simamisha sherehe za ushindi.hapa arusha walijaribu kufanya huo ujinga walikomea gari tano zika zinazunguka mjini huku wakipiga honi, Huku kila kona waliyopita watu walikuwa wanawanyoshea v na kuzomewa na walipofika soko kuu walizuiliwa kupita
hawakuwa wanaamini kama watatangazwa washindindio raha ya ushindi hiyo ! Na ww kama vp jiunge nao tu. Cdm mmewachukia wana igunga kwa vile wamewapotezea muda na pesa nyingi na hamkupata kitu. Jiunge nao kusheherekea.
Kwani jimbo la CDM liko Kenya? nani kakosa akili sasa? Hao ni Watanzania wanaosherekea ushindi wa chama chao.CCM wamekosa hata uwezo wa kufikiri. Jimbo lipo Igunga then wao wanakuja kusherekea kwenye jimbo la CHADEMA ni kukosa akili.
Itapendeza ukiweka takwimu za kura walizopata CDM na nafasi waliokua nayo tangu mwanzo na sasa.
hawakuwa wanaamini kama watatangazwa washindi
ushindi wa ccm ni ushindi wa mwizi kama ww.Nenda kapate bia za bure kijana, ushindi wa CCM ni ushindi wa kila Mtanzania. Bangi zenu wala hazita simamisha sherehe za ushindi.
MasaburiBrain, wanaIgunga kamwe hatuwezi kuwachukia tena tuna washukru kwa kazi walio ifanya hata nyie mnajua shughuli iliyofanyika hapo Igunga pamoja na kugawa pesa, kuchinja gome na kuwagawia, udini, kuwamwangia tindikali.....Ndio raha ya ushindi hiyo ! na ww kama vp jiunge nao tu. CDM mmewachukia wana igunga kwa vile wamewapotezea muda na pesa nyingi na hamkupata kitu. Jiunge nao kusheherekea.
Mimi ni mwanaumme siyo malaya kama wewe unaehongwa bia na suti unaachia masaburi...Nenda kapate bia za bure kijana, ushindi wa CCM ni ushindi wa kila Mtanzania. Bangi zenu wala hazita simamisha sherehe za ushindi.
we ni bure ya ghaliKwani jimbo la CDM liko Kenya? nani kakosa akili sasa? Hao ni Watanzania wanaosherekea ushindi wa chama chao.
MasaburiBrain, wanaIgunga kamwe hatuwezi kuwachukia tena tuna washukru kwa kazi walio ifanya hata nyie mnajua shughuli iliyofanyika hapo Igunga pamoja na kugawa pesa, kuchinja gome na kuwagawia, udini, kuwamwangia tindikali.....
Mimi ni mwanaumme siyo malaya kama wewe unaehongwa bia na suti unaachia masaburi...