Hivi hawa CCM wanatutaka nini watu wa Moshi?

Big man

Senior Member
Sep 21, 2011
128
14
Wakuu, habarini za mchana,

Wakuu, hawa magamba wana nini na watu wa Moshi, eti wamefunga barabara tangu asubuhi, napia wana zunguka mitaani wakitangaza na kujisifu kua wana wapongeza watu wa Igunga. Wakuu mi naona kama wana tuchokoza watu wa Moshi, au wanataka kesho waanze kusema tume wapiga na kuwa vua nguo?

Ni vizuri wa navyofanya kuwa pongeza watu wa igunga nje ya Igunga? Natamani kusikia wanacho kisema kwenye kikao cha leo ambacho kimefanya mpaka manispaa wakatufungia barabara kwa ajili ya hawa magamba.
 
Wakuu, habarini za mchana,
wakuu, hawa magamba wana nini na watu wa moshi, et wamefunga barabara tangu asubuhi napia wana zunguka mitaani wakitangaza na kujisifu kua wana wapongeza watu wa igunga, wakuu mi naona kama wana tuchokoza watu wa moshi, au wanataka kesho waanze kusema tume wapiga na kuwa vua nguo? ni vizuri wa navyofanya kuwa pongeza watu wa igunga nje ya igunga? Natamani kusikia wanacho kisema kwenye kikao cha leo ambacho kimefanya mpaka manispaa wakatufungia barabara kwa ajili ya hawa magamba,
Acha wivu wewe
 
Ndio raha ya ushindi hiyo ! na ww kama vp jiunge nao tu. CDM mmewachukia wana igunga kwa vile wamewapotezea muda na pesa nyingi na hamkupata kitu. Jiunge nao kusheherekea.
 
Itapendeza ukiweka takwimu za kura walizopata CDM na nafasi waliokua nayo tangu mwanzo na sasa.
 
hapa arusha walijaribu kufanya huo ujinga walikomea gari tano zika zinazunguka mjini huku wakipiga honi, Huku kila kona waliyopita watu walikuwa wanawanyoshea v na kuzomewa na walipofika soko kuu walizuiliwa kupita
 
Nenda kapate bia za bure kijana, ushindi wa CCM ni ushindi wa kila Mtanzania. Bangi zenu wala hazita simamisha sherehe za ushindi.
 
CCM wamekosa hata uwezo wa kufikiri. Jimbo lipo Igunga then wao wanakuja kusherekea kwenye jimbo la CHADEMA ni kukosa akili.
Kwani jimbo la CDM liko Kenya? nani kakosa akili sasa? Hao ni Watanzania wanaosherekea ushindi wa chama chao.
 
Itapendeza ukiweka takwimu za kura walizopata CDM na nafasi waliokua nayo tangu mwanzo na sasa.

Huu haukuwa uchaguzi wakutafuta idadi ya kura ulikuwa ni uchaguzi wakumpata Mbunge, sasa hapo mmepata mbunge gani ? kuna jimbo linaitwa Igunga huko Kenya nadhani hilo ndilo ambalo cdm wameshinda
 
Ndio raha ya ushindi hiyo ! na ww kama vp jiunge nao tu. CDM mmewachukia wana igunga kwa vile wamewapotezea muda na pesa nyingi na hamkupata kitu. Jiunge nao kusheherekea.
MasaburiBrain, wanaIgunga kamwe hatuwezi kuwachukia tena tuna washukru kwa kazi walio ifanya hata nyie mnajua shughuli iliyofanyika hapo Igunga pamoja na kugawa pesa, kuchinja gome na kuwagawia, udini, kuwamwangia tindikali.....
 
Nenda kapate bia za bure kijana, ushindi wa CCM ni ushindi wa kila Mtanzania. Bangi zenu wala hazita simamisha sherehe za ushindi.
Mimi ni mwanaumme siyo malaya kama wewe unaehongwa bia na suti unaachia masaburi...
 
Waacheni wapunguze stress za kushindwa na Mzee ndessa.. Wanadhani wanaweza kurudisha imani ya wachaga kwa CCM!
 
MasaburiBrain, wanaIgunga kamwe hatuwezi kuwachukia tena tuna washukru kwa kazi walio ifanya hata nyie mnajua shughuli iliyofanyika hapo Igunga pamoja na kugawa pesa, kuchinja gome na kuwagawia, udini, kuwamwangia tindikali.....

Tunajua cdm mmechanganyikiwa na sio ww tu hata viongozi wako mpaka walizimia siku ya matokeo, unadhani kushinda ubunge mchezo ?. Na ww jiunge nao sheherekea nao na furahi jeshi imara la ccm lililokuwa na askari wachache wenye kutumia akili dhidi ya jeshi zima la ccm lenye kutumia Masaburi na nguvu akiwemo MasaburiCrashwise aka mchicha mwiba.
 
Wanafanya hivyo ili wakiguswa tu waanze kuimba ule wimbo wao,ooh CHADEMA ni chama cha vurugu......................oooh sijui wametuvua hijabu,yote hayo ni upunguani tu mtu kama hujamchokoza kwa nini akufanyie fujo?CCM jifunzeni ustaarabu basi.
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom