Hivi hawa CCM wanatutaka nini watu wa Moshi?

Nyie mlio amini mtatangazwa ndio maana viongozi wenu walizimia kule igunga ?
MasaburiBrain, una mzungumzia huyu alivyobinuka...angethubutu kwenda igunga ilikuwa mazima maana kazi kule ilikuwa nipevu na hivi yule mlinzi wake hayuko duniani...
 
Last edited by a moderator:
CCM wamekosa hata uwezo wa kufikiri. Jimbo lipo Igunga then wao wanakuja kusherekea kwenye jimbo la CHADEMA ni kukosa akili.
Akili za Nape hizo, yeye Moshi hakanyagi, au akifiki anatetemeka na kusema shikamoo tu kwa kila anayekutana naye!!
Yale maneno yake ya kihunihuni anayaacha Tanga!
 
Tunajua cdm mmechanganyikiwa na sio ww tu hata viongozi wako mpaka walizimia siku ya matokeo, unadhani kushinda ubunge mchezo ?. Na ww jiunge nao sheherekea nao na furahi jeshi imara la ccm lililokuwa na askari wachache wenye kutumia akili dhidi ya jeshi zima la ccm lenye kutumia Masaburi na nguvu akiwemo MasaburiCrashwise aka mchicha mwiba.
yaani ulipo kosea ni kuweka jina langutu lakini kwingine uko vizuri Masaburibrain
 
Kwani jimbo la CDM liko Kenya? nani kakosa akili sasa? Hao ni Watanzania wanaosherekea ushindi wa chama chao.

yani nyie mmekosa akili kampenitu mmetumia bln 3 av mnazidi kuaribu pesa za umma, kufanya masherehe yenu, hamna ata aibu kazi mnaweka matumbo mbeletu we inaonyesha unapenda sana vya bure, nyie ndo wale mnao pewa buku 2tu mna uza kura zenu angalia sana vya bure havi fai,
 
Sera za bure bure ndio za cdm, kumbe hata hujui sera zenu? soma ilani yenu ya 2010 utajua !
 
Sera za bure bure ndio za cdm, kumbe hata hujui sera zenu? soma ilani yenu ya 2010 utajua !
Naona sera zenu za mapesa zinafanya kazi hapa
boy+with+dirty+water.jpg
 
Kwani jimbo la CDM liko Kenya? nani kakosa akili sasa? Hao ni Watanzania wanaosherekea ushindi wa chama chao.

yani nyie mmekosa akili kampenitu mmetumia bln 3 av mnazidi kuaribu pesa za umma, kufanya masherehe yenu, hamna ata aibu kazi mnaweka matumbo mbeletu we inaonyesha unapenda sana vya bure, nyie ndo wale mnao pewa buku 2tu mna uza kura zenu angalia sana vya bure havi fai,
 
weee koma sisi hatuna ilani ya kuwachakachua wananch.

Mmeanza kuikana ilani yenu hukumbuki Ilani yenu ya hospitali bure, cement bure, shule bure, kodi wananchi wasilipe, maji bure nk hii ilikuwa na maana hata wanaume ambao wako cdm wakioa wake zao watahudumiwa bure !
 
MasaburiBrain, una mzungumzia huyu alivyobinuka...angethubutu kwenda igunga ilikuwa mazima maana kazi kule ilikuwa nipevu na hivi yule mlinzi wake hayuko duniani...

Mtu Mkubwa km RAIS NA AMIRI JESHI MKUU aliona si busara kwenda igunga kwani hata kura msinge pata. Ameenda magufuli tu cdm mnalalamika ooooh serikali nzima imetumaliza . Upo hapo mchcha mwiba CRASHWISE
 
Last edited by a moderator:
Mtu Mkubwa km RAIS NA AMIRI JESHI MKUU aliona si busara kwenda igunga kwani hata kura msinge pata. Ameenda magufuli tu cdm mnalalamika ooooh serikali nzima imetumaliza . Upo hapo mchcha mwiba CRASHWISE
Angeweza kuelezea kwa nini Igunga hali ipo hivi?? au angechekacheka tu halafu watu wampopoe au aanguke hata kabla hajapopolewa
Water_is_life.jpg
 
Wana jm hivi hapa nilipo niko kwenye mkutano wa hiki chama cha mafisadi, nachoweza kusema ni kwamba wamechukua vikundi vya kina mama wazee wanaimba ngoma za vijembe na ku2kana CHADEMA 2. Kwa mtazamo wangu hiki chama kimefika mwisho wake, kwani walipita kila kata kutangaza huu mkutano wao na sisi ambao hatuna vyama tulidhani 2nakuja kuambia mambo ya maendeleo kwenye nchi ye2 ukizingatia sukari inapita hapa hapa mkoani kwe2 kwenda kenya kwa magendo na mahindi, sasa wao wamekali ku2onesha ngoma za zenye mipasho na vijembe kwa CHADEMA. Swali langu kwa wana jamii ni hili HIVI CHADEMA WAMEWAFANYA NINI CCM. Manake hawaongelei vyama vingine mbona kuna vyama vingi? Naombeni jibu. Nb. Hivi hawa wazee wanaoshabia siasa uchwara kama alivyosema LOST. Hawaoni mambo yalivyo kuwa magumu mimi binafsi kwa mchango wangu kwenye hizi siasa za umbea ningependa kuona huduma muhimu kama chakula ipande mara dufu ili watu wakome na siasa zao uchwara!! Haya ni maono yangu asante hadi sasa hawajaanza ku2eleza nini wame2itia hapa wao ni kutoa kikundi hiki weka kingine cha ngoma kwa lengo la ku2oa vijembe kwa chadema!!
 
Mtu Mkubwa km RAIS NA AMIRI JESHI MKUU aliona si busara kwenda igunga kwani hata kura msinge pata. Ameenda magufuli tu cdm mnalalamika ooooh serikali nzima imetumaliza . Upo hapo mchcha mwiba CRASHWISE
Bogus kabisa sema alienda marekani kupiga picha na 50 cent acha kumumunya maneno.....anaukubwa gani kuhongwa suti na kuwaachia jaama wajenge kwenye bunga za wanyama na kuwaruhusu wachukua wachama zaidi ya 116 na wengine kujitangazia nchi ndani ya nchi yetu...au kushindwa kuwajibika na ufisadi wake pamoja na Lowasa, Chenge, Rostam n.k
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom