Hivi hawa CCM wanatutaka nini watu wa Moshi?

NDOFU

JF-Expert Member
Feb 23, 2009
656
250
Ndio raha ya ushindi hiyo ! na ww kama vp jiunge nao tu. CDM mmewachukia wana igunga kwa vile wamewapotezea muda na pesa nyingi na hamkupata kitu. Jiunge nao kusheherekea.

Akili fupi,hv unaweza kusema Chadema hawakupata kitu! Hebu muwe na fikra pana zaidi! Pumbafu kabisa.
 

moblaze

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
231
195
Nenda kapate bia za bure kijana, ushindi wa CCM ni ushindi wa kila Mtanzania. Bangi zenu wala hazita simamisha sherehe za ushindi.

bora mvuta bangi mwenye uchungu na nchi yake kuliko wewe mbwia unga ambaye unaelewa lakini utaki kufikiri. time wil tel na utajuta! tel Nape too
 

Big man

Senior Member
Sep 21, 2011
126
195
Mmeanza kuikana ilani yenu hukumbuki Ilani yenu ya hospitali bure, cement bure, shule bure, kodi wananchi wasilipe, maji bure nk hii ilikuwa na maana hata wanaume ambao wako cdm wakioa wake zao watahudumiwa bure !

wendo akili huna kabisa sisi sera ze2 ni wana nchikupata bithaa muhimu kwa bei nafuu 7bu gharama nyingine 2na zilipia kwene kodi sasa nyie badala muiingize hizo pesa sehemu muhimu, mna zikusanya zikiwa nyingi mnagawana na zinapo baki mnafanya sherehe iv mna akili kweli?
 

JALUO

Senior Member
Jun 4, 2011
168
225
ndio raha ya ushindi hiyo ! Na ww kama vp jiunge nao tu. Cdm mmewachukia wana igunga kwa vile wamewapot
ezea muda na pesa nyingi na hamkupata kitu. Jiunge nao kusheherekea.

wewe mbumbumbu tu umekodishwa na kupotezewa mda kuidis cdm kwa taarifa yako cdm fans tumeenda shule twajua namna ya kupambana na magamba ka nyie,,,
hivi kati ya ccm na cdm igunga nani kashindwa?mmepoteza umaarufu kwa asilimia 65,,isitoshe huyo mbunge wenu katangazwa kwa mamlaka si kwa idhini na majority vote.....ndiyo...unabisha nini?kwanini mlikataa fomu no 17 zisitumike?nazilipotumika mkapeleka chache?simlijua mmenunua shahada??you guy washauri hao wauaji wa uchumi na nafsi za watu,watumie mda wao na pesa za wana tz kuwasaidia watz.....kwaleo hvo vidonge vyakutosha men
 

mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
12,322
2,000
ushindi igunda alafu sherehe moshi!!!:director:???????

duh hiyo kali!! ni sawa na kuhamisha shughuli ya jirani yako nyumbani kwako ati kwa kuwa unampenda ua kuchukua maiti ya jirani na kuizika kwako!!! siwaelewi!
 

GeniusBrain

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
4,320
1,195
kweli hazina mwelekeo na matokeo ya Igunga ni uthibitisho wa hilo, kweli magwanda yamelowa

Nape unajua magwanda wanatumia nguvu nyingi na akili chache, ila ccm mnatumia akili nyingi na nguvu chache. Angalia magwanda walipeleka jeshi zima igunga wakaenda kutumia nguvu nyingi , ila ccm lilipeleka jeshi chache lenye akili na mbinu kali, na hilo ndilo jeshi bora !
 

andrewk

JF-Expert Member
Apr 13, 2010
3,102
1,500
Nape hongera kwa ushindi, ila inaoneka CCM kila kula umepata kwa Shs.113,000, CUF kapata kwa Shs. 71,000 na Chadema Tshs. 17,000. sasa nani kwenye akili?
 

andrewk

JF-Expert Member
Apr 13, 2010
3,102
1,500
Nape hongera kwa ushindi, ila inaoneka CCM kila kura umepata kwa Shs.113,000, CUF kapata kwa Shs. 71,000 na Chadema Tshs. 17,000. sasa nani kwenye akili?
 

GeniusBrain

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
4,320
1,195
Wana jm hivi hapa nilipo niko kwenye mkutano wa hiki chama cha mafisadi, nachoweza kusema ni kwamba wamechukua vikundi vya kina mama wazee wanaimba ngoma za vijembe na ku2kana CHADEMA 2. Kwa mtazamo wangu hiki chama kimefika mwisho wake, kwani walipita kila kata kutangaza huu mkutano wao na sisi ambao hatuna vyama tulidhani 2nakuja kuambia mambo ya maendeleo kwenye nchi ye2 ukizingatia sukari inapita hapa hapa mkoani kwe2 kwenda kenya kwa magendo na mahindi, sasa wao wamekali ku2onesha ngoma za zenye mipasho na vijembe kwa CHADEMA. Swali langu kwa wana jamii ni hili HIVI CHADEMA WAMEWAFANYA NINI CCM. Manake hawaongelei vyama vingine mbona kuna vyama vingi? Naombeni jibu. Nb. Hivi hawa wazee wanaoshabia siasa uchwara kama alivyosema LOST. Hawaoni mambo yalivyo kuwa magumu mimi binafsi kwa mchango wangu kwenye hizi siasa za umbea ningependa kuona huduma muhimu kama chakula ipande mara dufu ili watu wakome na siasa zao uchwara!! Haya ni maono yangu asante hadi sasa hawajaanza ku2eleza nini wame2itia hapa wao ni kutoa kikundi hiki weka kingine cha ngoma kwa lengo la ku2oa vijembe kwa chadema!!

Hiyo sherehe mmeandaliwa wana cdm , mle , mnywe then mkalale ! ni sherehe yenu hiyo wapenda vitu vya bure
 

Edson

JF-Expert Member
Mar 7, 2009
9,495
2,000
kweli hazina mwelekeo na matokeo ya Igunga ni uthibitisho wa hilo, kweli magwanda yamelowa


wewe ulifanya nini igunga? sio wewe uliyepigwa marufuku igunga na chama chako ukawa unatapa tapa singida mara musoma....ulijaribu kutia mguu igunga unamkumbuka yule baunsa alivyokuuliza pale pub? unakumbuka?? ukajifanya kumuuliza''hivi unajua unaongea na nani?''baunsa akakujibu najua wewe ni nape nauye nasema ondoka hapa.....uliondoka kimya kimya

na hata katibu mkuu wako mukama alipopata habari zako kuwa umetia mguu igunga unakumbuka ile simu aliyokupigia akakuuliza'' nani amekwambia uende igunga? unataka kutuharibia uchaguzi sio? ulimpa jibu gani mukama?

wacha uongo kijana..... wewe kama katibu mwenezi ulipaswa kuwa kule lakini cha ajabu ulipigwa marufuku na wenye chama.....kuna mahali ulisema kuwa siasa kwako ni hobi....ukaongeza kuwa mzee wako amekuachia urith wa elimu lakini cha ajabu hujui hata kuitumia hiyo elimu yako na siasa hujui na ndio maana unatumika tu kama TP.


kuna post yako nimeona humu mwanakijiji amekuuliza swali...ulivyo limbukeni hukumwelewa mwanakijini badala yake ukamsifia tena.......unatia huruma sana.....

usikatae kijana upinzani mlioupata igunga na mkubwa..
 

dhahabuinang'aa

Senior Member
Aug 10, 2011
134
0
kweli hazina mwelekeo na matokeo ya Igunga ni uthibitisho wa hilo, kweli magwanda yamelowa
Nilidhani una akili timamu kumbe pumba tupu hivi una la kujisifia Igunga?
hawajawahi weka mgombea! mara kwanza wamewazidi mpaka mmegeuza matokeo unajisifu kwa kura za kuiba?
ccm hamna jipya mumebakia kuiba tuu.
na huu ndio mwisho wenu watanzania tumeshawachoka mjue hilo waambie na wenzako kuwa watz wanasema wameichoka ccm!
kama hamna akili hata macho hayaoni?
tumewachoka hatuna hata hamu na nyie sisi ndio watanzania mnataka nani awambie msikie? nape jua hilo kutoka mioni mwa watz
 

undugukazi

JF-Expert Member
Sep 15, 2011
315
225
Ndessa ndioo nani??? Na siku akifa huyo mzee-mungu amuepushie-sijuhi mtamtaja nani??? Acha wivu ...ushindi ni ushindi, mwageni sera cdm mtapata ushindi..au na nyie hongeni kama mnaumia sana na ushindi wake
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom