Hivi hawa CCM wanatutaka nini watu wa Moshi?

Ukiwa kijana na ukawa mnafiki ukifikia uzeeni utakuwa mchawi,Special for Nape
 
Genios brain ni Nape huyo,wanajamvi zindukeni,manake porojo zake na uandishi wake wa kinapenape
 
Waacheni wapunguze stress za kushindwa na Mzee ndessa.. Wanadhani wanaweza kurudisha imani ya wachaga kwa CCM!

mama minde alishindwa enzi ya mkapa, wakatu letea salakana, av walisahau kua salakana walimlazimisha kugombea, ikabidi agombee kwa shingo upande japo alijua hata muweza babu, eti aliambiwa asipo gombea atavunjiwa hotel yake aliyo ijenga kule rombo kwenye msitu wa serikali alivyo tishiwa akaona awarithishe wana magamba wakamuachia hoteli yake, anaendelea kula taratibu na wajinga wamemuacha,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom