Hivi gesi yetu inayochimbwa Mtwara inatumika wapi?

Hivi gesi yetu inayochimbwa Mtwara inatumika wapi?

Kwani serikali ilitangaza ya nini kama bado miaka kumi kuchimbwa hata sielewi yaani mkongoto wote ule kumbe mzigo bado hapana hii kamba
Ule mkong'otoculitokana na kwamba wananchi walitaka gesi ya songo songo itumike kuzalisha umeme kule kule badala ya kuja kuzalishia umeme kinyerezi, kumbuka gesi ya songo songo iligunduliwa miaka ya 1970, na ndio miaka ya 2010 imeanza kuzalisha umeme, hii iliyogunduliwa juzi juzi na kupigiwa debe, bado kama miaka 10 ndio ianze kuchimbwa
 
Gesi ilyogunduliwa juzi juzi ya Mtwara bado haijaanza kuchimbwa, inaweza kuchukua hata miaka 10 kuanza kuchimbwa. Ile iliyogunduliwa miaka ya 1970 ya Songas ndio inayotumika Kinyerezi power plant na ubungo power plant kuzalisha umeme, pia imesambazwa baadhi ya viwanda jijini Dar. Na kwasasa umeme wa gesi unaozalishwa Ubungo na Kinyerezi I power plants bado hautoshi kwani mahitaji ya umeme yanaongezeka kwa kasi, na ndio maana serikali iko mbioni kukamilisha na kuwasha mitambo ya Kinyerezi II power plant ili kusaidia kupunguza uhaba, pia nadhani patakuwa na Kinyerezi III na Kinyerezi IV power plants zitafuata ili kuendelea kupambana na uhaba. Stiegler's gorge ndio baba lao kabisa, muwe waelewa na sio watu wa kulia lia kama kuku wanataka kutaga.
Umedanganya kwa kiwango cha STG.
 
Songosongo ipo mtwara mkuu maana wengine ramani shida
Ya songo songo ni tofauti na hiyo ya msimbati iliyop off shore (baharini), ya songo songo ndio inazalishwa tangu 2010 nadhani, hiyo ya msimbati huko baharini bado miaka kama 7 - 10 kuanza kuzalishwa (Visiwa vya songo songo ni lindi na msimbati ni mtwara)
 
Gesi ilyogunduliwa juzi juzi ya Mtwara bado haijaanza kuchimbwa, inaweza kuchukua hata miaka 10 kuanza kuchimbwa. Ile iliyogunduliwa miaka ya 1970 ya Songas ndio inayotumika Kinyerezi power plant na ubungo power plant kuzalisha umeme, pia imesambazwa baadhi ya viwanda jijini Dar. Na kwasasa umeme wa gesi unaozalishwa Ubungo na Kinyerezi I power plants bado hautoshi kwani mahitaji ya umeme yanaongezeka kwa kasi, na ndio maana serikali iko mbioni kukamilisha na kuwasha mitambo ya Kinyerezi II power plant ili kusaidia kupunguza uhaba, pia nadhani patakuwa na Kinyerezi III na Kinyerezi IV power plants zitafuata ili kuendelea kupambana na uhaba. Stiegler's gorge ndio baba lao kabisa, muwe waelewa na sio watu wa kulia lia kama kuku wanataka kutaga.
Shabushaaaaa kwahiyo ili bomba halina kazi yoyote from madimba to dar waje waling'oe tu tupme viwanja
 
Okey...sasa hayo mabomba yameanzia wapi?? Mterwa au songosongo?
Lindi kuna gesi ya visiwa vya songo songo iliyogunduliwa in 1970's, pia huko mtwara kuna gesi iliyogunduliwa majuzi huko Msimbati baharini (off shore) na nyingine ni ya mnazi bay mtwara, gesi inayokuja kinyerezi inatoka mnazi bay na Songo songo
 
Sababu ilikuwa ni kwamba wananchi walitaka mitambo iliyop Kinyerezi ipelekwe huko huko gesi inapotoka ili umeme uzalishwe huko na kusafirishwa kuja Dar,ila hiyo ilikuwa ngumu sababu ya Transmission losses ambazo zingeweza kutokea, ni bora zaidi kusafirisha gesi kuliko umeme
Transmission losses??? Power Plant ikiwa Dar, Mtwara wakaungwa kwenye grid, umeme utakuwa unawafikiaje? Hakutakuwa na transmission losses?
 
Hivi umesoma nilichokiandika? Si nimesema kwamba gesi inayopitishwa kwenye hilo bomba ni ile iliyogunduliwa mwaka 1970 ya Songas na sio hiyo ya mtwara ya juzi juzi iliyopigiwa debe, sasa huelewi nini, wewe ni zezeta? Au hujui kusoma?
hako kajamaa ni ka zezeta mkuu kasikuumize kichwa kwanza angalia jina analotumia ni michosho
Tatizo pia inawezekana watz wengi ni mataahira (1:4); mfano ni huyu anaeuliza kitu hicho hicho ambacho nimekijibu sasa hivi, tena ameni quote kabisa, wala tusilaumu serikali, nadhani kuna watu wanavichwa vizito mno!
Linasafirisha gesi ya songo songo iliyogunduliwa in the 1970's, sio ya mtwara iliyop off-shore (baharini) maana haijaanza kuchimbwa
Mkuu utaumia bure kubishana na hawa tahira
 
Kwa hiyo gesi inatoka Songosongo inaenda Mtwara na kuja DSM?
lindi kuna gesi ya visiwa vya songo songo na Mtwara ya offshore (baharini) huko Msimbati, ipo mtwara. Hii inayokuja Dar inatoka Songo songo. Ila pia inawezekana bomba hili limechepushwa kuja huko mtwarakwa ajili ya kuwasaidia kukuza na kuendeshea viwanda kama cha Dangote
 
Ya songo songo ni tofauti na hiyo ya msimbati iliyop off shore (baharini), ya songo songo ndio inazalishwa tangu 2010 nadhani, hiyo ya msimbati huko baharini bado miaka kama 7 - 10 kuanza kuzalishwa (zote songo songo na msimbati ni mtwara)
"ya songosongo ndo inazalishwa tangu 2010"????000000

Mkuu hapo sija kuelewa aisee...km ilianza kuzalishwa muda huo,, ilisafirishwa kwa njia gani hadi dar??

Kwani mabomba yamekamilika 2015..sasa hyo 2010 au kulikuwa na means nyingine ya kusafirisha??

Afu songo songo iko mtwara??
 
Jibu zuri ila ni ukweli kwamba watanzania ni wagumu sana kufuatilia taarifa mbalimbali angalau za kuhusu nchi yao.
Pia serikali mambo mengi inafafanua kisiasa....hawataki kuwaelimisha wananchi kiundani.
 
Wanasubiri nn kuanza kuchimba??

Kasa cha kuingia gharama zote hzo za mabomba wakati uzalishaji kumbe bado kilikuwa ni cha nn??

Huoni km ni hasara , kwa kuingia gharama nyingi kiasi hicho kwa ajili ya kuweka mabomba ya gesi wakati gesi yenyewe inayopita ni kiduchu??

Na hzo gharama za mabomba ni za serikali au mwekezaji??

Kuanza kuchimba itachukua kuanzia miaka 10,?? nn kinasubiriwa wakati watu wanahitaji umeme kwa ajili ya viwanda...na gesi ipo??
Maelezo yote hayo bado tu hujaridhika..au hujaelewa
 
Back
Top Bottom