Hivi gesi yetu inayochimbwa Mtwara inatumika wapi?

Hata kama tukibadilishana na marekani.
Yaani wa Tanzania tukaishi marekani na wamarekani waje kuishi Tanzania. Baada ya miaka 5.
TANZANIA ITAGEUKA KUWA MAREKANI.
NA MAREKANI ITAGEUKA KUWA TANZANIA.
Miaka mitano yote hiyo mkuu kwa watz hawa hawa mkuu!!! wakijitahidi sana labda mwaka 1 tu

utaona jinsi mitalo ilivyoziba/kujaa uchafu!!

Barabara za mashimo kila kona ya Tz.

Rushwa, hapa sasa ndo hata watoto wachanga watafungua account nje ya nchi. N.k
 
Nilimsikia mkuu akiwa kwa Museveni, alisema lilebomba la mafuta toka Uganda kuja tanga-Tanzania litakapokamilika , watakuwa na uwezo wa kusafirisha GESI toka Tanzania- Uganda. Hapo nilijiuliza swali 1, gesi hapa ndani Tanzania tunajitoshereza au mikataba yetu ya gesi ipoje?
 
Jibu zuri ila ni ukweli kwamba watanzania ni wagumu sana kufuatilia taarifa mbalimbali angalau za kuhusu nchi yao.
Unajua mkuu, hujajibu maswali hapo juu...naona unaongea kisiasa na wakati ni masuala ya kitaalam.....

Hivi wakati wananchi wa mtwara wanapigwa sababu ilikuwa ni nini hasa??
 
Gesi ilyogunduliwa juzi juzi ya Mtwara bado haijaanza kuchimbwa, inaweza kuchukua hata miaka 10 kuanza kuchimbwa. Ile iliyogunduliwa miaka ya 1970 ya Songas ndio inayotumika Kinyerezi power plant na ubungo power plant kuzalisha umeme, pia imesambazwa baadhi ya viwanda jijini Dar. Na kwasasa umeme wa gesi unaozalishwa Ubungo na Kinyerezi I power plants bado hautoshi kwani mahitaji ya umeme yanaongezeka kwa kasi, na ndio maana serikali iko mbioni kukamilisha na kuwasha mitambo ya Kinyerezi II power plant ili kusaidia kupunguza uhaba, pia nadhani patakuwa na Kinyerezi III na Kinyerezi IV power plants zitafuata ili kuendelea kupambana na uhaba. Stiegler's gorge ndio baba lao kabisa, muwe waelewa na sio watu wa kulia lia kama kuku wanataka kutaga.
Hii serikali imejaa ahadi feki kibao!
 
Ningelikusema lkn nakusheshimu sana wewe JF ni jina kubwa, lkn kwa mwendo huu, tutajitafakari tena. Angalia sentensi yako ya mwisho!
 
Unajua mkuu, hujajibu maswali hapo juu...naona unaongea kisiasa na wakati ni masuala ya kitaalam.....

Hivi wakati wananchi wa mtwara wanapigwa sababu ilikuwa ni nini hasa??
Sababu ilikuwa ni kwamba wananchi walitaka mitambo iliyop Kinyerezi ipelekwe huko huko gesi inapotoka ili umeme uzalishwe huko na kusafirishwa kuja Dar,ila hiyo ilikuwa ngumu sababu ya Transmission losses ambazo zingeweza kutokea, ni bora zaidi kusafirisha gesi kuliko umeme
 
Siwezi kujibu zaidi ndugu, soma na utafakari hayo uliyojibiwa. Na kuhusu swali lako hili la mwisho sina uwezo wa kulijibu kwa kuwa mimi sio mwanasiasa na sitegemei chukua kadi ya chama kiwacho chochote kile maishani mwangu.
 
Sababu ilikuwa ni kwamba wananchi walitaka mitambo iliyop Kinyerezi ipelekwe huko huko gesi inapotoka ili umeme uzalishwe huko na kusafirishwa kuja Dar,ila hiyo ilikuwa ngumu sababu ya Transmission losses ambazo zingeweza kutokea, ni bora zaidi kusafirisha gesi kuliko umeme
Okey...sasa hayo mabomba yameanzia wapi?? Mterwa au songosongo?
 
Gesi ilyogunduliwa juzi juzi ya Mtwara bado haijaanza kuchimbwa, inaweza kuchukua hata miaka 10 kuanza kuchimbwa. Ile iliyogunduliwa miaka ya 1970 ya Songas ndio inayotumika Kinyerezi power plant na ubungo power plant kuzalisha umeme, pia imesambazwa baadhi ya viwanda jijini Dar. Na kwasasa umeme wa gesi unaozalishwa Ubungo na Kinyerezi I power plants bado hautoshi kwani mahitaji ya umeme yanaongezeka kwa kasi, na ndio maana serikali iko mbioni kukamilisha na kuwasha mitambo ya Kinyerezi II power plant ili kusaidia kupunguza uhaba, pia nadhani patakuwa na Kinyerezi III na Kinyerezi IV power plants zitafuata ili kuendelea kupambana na uhaba. Stiegler's gorge ndio baba lao kabisa, muwe waelewa na sio watu wa kulia lia kama kuku wanataka kutaga.
Mkuu hongera kwa kuwaelewasha hawa viben 10, maana upeo wao wa kufikili ni mdogo sana , vikisha kula msosi , vikapewa na VITS kuzunguka nayo mjini, vikaekewa na vocha basi kuwa inakuwa shida sana humu ndani . vina majibu ya kunya , vinaropoka . Ila hata kuwelezee vipi huwa havikosi majibu , kwa hiyo mkuu majibu uliyowapa yanatosha kabisa
 
Back
Top Bottom