Hivi gesi yetu inayochimbwa Mtwara inatumika wapi?

Gesi ilyogunduliwa juzi juzi ya Mtwara bado haijaanza kuchimbwa, inaweza kuchukua hata miaka 10 kuanza kuchimbwa. Ile iliyogunduliwa miaka ya 1970 ya Songas ndio inayotumika Kinyerezi power plant na ubungo power plant kuzalisha umeme, pia imesambazwa baadhi ya viwanda jijini Dar. Na kwasasa umeme wa gesi unaozalishwa Ubungo na Kinyerezi I power plants bado hautoshi kwani mahitaji ya umeme yanaongezeka kwa kasi, na ndio maana serikali iko mbioni kukamilisha na kuwasha mitambo ya Kinyerezi II power plant ili kusaidia kupunguza uhaba, pia nadhani patakuwa na Kinyerezi III na Kinyerezi IV power plants zitafuata ili kuendelea kupambana na uhaba. Stiegler's gorge ndio baba lao kabisa, muwe waelewa na sio watu wa kulia lia kama kuku wanataka kutaga.
Nimeshawajibu kwa kirefu watu humu mara kadhaa na nimegundua watu wengi hawana taarifa juu ya gesi ya mtwara. Wengi wanafahamu kwamba kujengwa kwa lile bomba basi na ile hifadhi kubwa ya gesi kule ndani ya maji mtwara imekwishaanza zalishwa wasijue kwamba lile bomba linapitisha gesi ya madimba ambayo ni kiasi kidogo na imegunduliwa miaka mingi kabla ya hii ambayo wanasiasa waliiongelea sana hapo nyuma.
Lakini nafikiri ni tatizo la serikali yenyewe kutotoa taarifa ya kuwaelewesha wananchi.
 
Km sijakuelewa maelezo yako mtaalamu...au labda hayo maswali hujayaelewa..

Km hyo gesi ya mtwara haija chimbwa,, hayo mabomba yaliyotandwazwa toka mtwara hadi dar yalikuwa kwa ajili ya kupitisha nn??...na kwenye TV tulionyeshwa enzi zile za Mhongo??!

Ebu fafanua zaidi aisee...tukuelewe...au ikibidi rudi tena usome maswali.
Asante
 
Hivi umesoma nilichokiandika? Si nimesema kwamba gesi inayopitishwa kwenye hilo bomba ni ile iliyogunduliwa mwaka 1970 ya Songas & mnazi bay na sio hiyo ya mtwara ya juzi juzi iliyopigiwa debe, sasa huelewi nini, wewe ni zezeta? Au hujui kusoma?
 
Nimeshawajibu kwa kirefu watu humu mara kadhaa na nimegundua watu wengi hawana taarifa juu ya gesi ya mtwara. Wengi wanafahamu kwamba kujengwa kwa lile bomba basi na ile hifadhi kubwa ya gesi kule ndani ya maji mtwara imekwishaanza zalishwa wasijue kwamba lile bomba linapitisha gesi ya madimba ambayo ni kiasi kidogo na imegunduliwa miaka mingi kabla ya hii ambayo wanasiasa waliiongelea sana hapo nyuma.
Lakini nafikiri ni tatizo la serikali yenyewe kutotoa taarifa ya kuwaelewesha wananchi.
Wanasubiri nn kuanza kuchimba??

Kasa cha kuingia gharama zote hzo za mabomba wakati uzalishaji kumbe bado kilikuwa ni cha nn??

Huoni km ni hasara , kwa kuingia gharama nyingi kiasi hicho kwa ajili ya kuweka mabomba ya gesi wakati gesi yenyewe inayopita ni kiduchu??

Na hzo gharama za mabomba ni za serikali au mwekezaji??

Kuanza kuchimba itachukua kuanzia miaka 10,?? nn kinasubiriwa wakati watu wanahitaji umeme kwa ajili ya viwanda...na gesi ipo??
 
Tatizo pia inawezekana watz wengi ni mataahira (1:4); mfano ni huyu anaeuliza kitu hicho hicho ambacho nimekijibu sasa hivi, tena ameni quote kabisa, wala tusilaumu serikali, nadhani kuna watu wanavichwa vizito mno!
 
Huwa najiuliza kama gesi ipo, why wanataka jenga mradi wa stiegler George, mbona wasitumie gesi na wajenge mitambo mtwara kuzalisha umeme.
Tunahitaji vyanzo vingi zaidi vya umeme si gesi pekee hivyo tunahitaji huu mradi wa stieglers gorge. Lakini ndugu gesi ndio inayotumika kuzalisha umeme kinyerezi ambapo awamu ya kwanza ilikwishakamilika na sasa awamu ya pili iko mbioni kukamilika na kuingizwa gridi ya taifa, kuna awamu ya tatu na nne pia zitafuata.
Hata hivyo umeme wa maji ndio unaozalishwa kwa kiasi kikubwa zaidi kwa mtambo mmoja. Plant kubwa zinazozalisha umeme duniani ni three gorges dam 22,500MW nchini China ikifuatiwa na Itaipu dam 14,000MW hii iko Brazil na Paraguay. Kwa kifupi, katika top 20 biggest power stations, 12 ni hydroelectric power stations.
 
Wanasubiri nn kuanza kuchimba??

Kasa cha kuingia gharama zote hzo za mabomba wakati uzalishaji kumbe bado kilikuwa ni cha nn??

Huoni km ni hasara , kwa kuingia gharama nyingi kiasi hicho kwa ajili ya kuweka mabomba ya gesi wakati gesi yenyewe inayopita ni kiduchu??

Na hzo gharama za mabomba ni za serikali au mwekezaji??

Kuanza kuchimba itachukua kuanzia miaka 10,?? nn kinasubiriwa wakati watu wanahitaji umeme kwa ajili ya viwanda...na gesi ipo??
Usimikaji wa mitambo ya kuchimba gesi huchukua miaka mingi, hiyo ndio teknolojia ya sasa inavyohitaji, huwezi harakisha zaidi ya hapo. Bomba lililojengwa halikuwa kwa ajili ya gesi ambayo haijaanza kuchimbwa, ilikuwa ni kwa ajili ya gesi ya songo songo na mnazi bay ambayo tayari imeanza kuchimbwa, na ukubwa wa bomba hilo umeendana na udogo wa gesi ya songosongo na mnazi bay, hivyo hakuna pesa iliyochezewa.
 
Usimikaji wa mitambo ya kuchimba gesi huchukua miaka mingi, hiyo ndio teknolojia ya sasa inavyohitaji, huwezi harakisha zaidi ya hapo. Bomba lililojengwa halikuwa kwa ajili ya gesi ambayo haijaanza kuchimbwa, ilikuwa ni kwa ajili ya gesi ya songo songo ambayo tayari imeanza kuchimbwa, na ukubwa wa bomba hilo umeendana na udogo wa gesi ya songosongo, hivyo hakuna pesa iliyochezewa.
Basi taarifa iliyokuwa ikitolewa na viongozi haikuwa sahihi...pengine ilikuwa ya kisiasa.

So hyo gesi mikataba yake iko wazi kweli??

Na songosongo uchimbaji unafanywa na nani??

So uchimbaji wa mtwara utakapo anza wataweka bomba lingine kubwa??

Wakati wananchi wa mtwara wanapigwa...ilikuwa ni kwa ajiri ya nini??
 
Gesi ilyogunduliwa juzi juzi ya Mtwara bado haijaanza kuchimbwa, inaweza kuchukua hata miaka 10 kuanza kuchimbwa. Ile iliyogunduliwa miaka ya 1970 ya Songas ndio inayotumika Kinyerezi power plant na ubungo power plant kuzalisha umeme, pia imesambazwa baadhi ya viwanda jijini Dar. Na kwasasa umeme wa gesi unaozalishwa Ubungo na Kinyerezi I power plants bado hautoshi kwani mahitaji ya umeme yanaongezeka kwa kasi, na ndio maana serikali iko mbioni kukamilisha na kuwasha mitambo ya Kinyerezi II power plant ili kusaidia kupunguza uhaba, pia nadhani patakuwa na Kinyerezi III na Kinyerezi IV power plants zitafuata ili kuendelea kupambana na uhaba. Stiegler's gorge ndio baba lao kabisa, muwe waelewa na sio watu wa kulia lia kama kuku wanataka kutaga.
hilo bomba linapitisha tope?
 
Tatizo pia inawezekana watz wengi ni mataahira (1:4); mfano ni huyu anaeuliza kitu hicho hicho ambacho nimekijibu sasa hivi, tena ameni quote kabisa, wala tusilaumu serikali, nadhani kuna watu wanavichwa vizito mno!
Ni Kweli kabisa, na utahira unatokana na ulaji wa ugali na maharagwe. Chakula icho kimezidi na kinaendelea kuongeza matahira apa Tanzania
 
Gesi ilyogunduliwa juzi juzi ya Mtwara bado haijaanza kuchimbwa, inaweza kuchukua hata miaka 10 kuanza kuchimbwa. Ile iliyogunduliwa miaka ya 1970 ya Songas ndio inayotumika Kinyerezi power plant na ubungo power plant kuzalisha umeme, pia imesambazwa baadhi ya viwanda jijini Dar. Na kwasasa umeme wa gesi unaozalishwa Ubungo na Kinyerezi I power plants bado hautoshi kwani mahitaji ya umeme yanaongezeka kwa kasi, na ndio maana serikali iko mbioni kukamilisha na kuwasha mitambo ya Kinyerezi II power plant ili kusaidia kupunguza uhaba, pia nadhani patakuwa na Kinyerezi III na Kinyerezi IV power plants zitafuata ili kuendelea kupambana na uhaba. Stiegler's gorge ndio baba lao kabisa, muwe waelewa na sio watu wa kulia lia kama kuku wanataka kutaga.

Mbona hujajibu hoja ya mleta uzi? Lile bomba lililolazwa ardhini kwa usimamizi wa JWTZ linasafirisha nini sasa toka Mtwara hadi DSM?
 
Mbona hujajibu hoja ua mleta uzi? Lile bomba lililolazwa ardhini kwa usimamizi wa JWRZ linasafirisha nini sasa toka Mtwara hadi DSM?
Linasafirisha gesi ya songo songo iliyogunduliwa in the 1970's, sio ya mtwara iliyop off-shore (baharini) maana haijaanza kuchimbwa
 
Usimikaji wa mitambo ya kuchimba gesi huchukua miaka mingi, hiyo ndio teknolojia ya sasa inavyohitaji, huwezi harakisha zaidi ya hapo. Bomba lililojengwa halikuwa kwa ajili ya gesi ambayo haijaanza kuchimbwa, ilikuwa ni kwa ajili ya gesi ya songo songo ambayo tayari imeanza kuchimbwa, na ukubwa wa bomba hilo umeendana na udogo wa gesi ya songosongo, hivyo hakuna pesa iliyochezewa.
Jibu zuri ila ni ukweli kwamba watanzania ni wagumu sana kufuatilia taarifa mbalimbali angalau za kuhusu nchi yao.
 
Back
Top Bottom