nduza
JF-Expert Member
- Feb 7, 2019
- 1,595
- 2,497
-Tanzania ina gesi asilia ambayo ni nyingi sana kwanini serikali yetu iliamua kutumia mabilioni ya pesa kujenga stiglers gorge
badala ya kujenga vituo vya kuzalisha umeme kwa kutumia gesi?
-Kama gesi ililetwa kutoka mtwara mpaka kinyerezi kwanini visijengwe vituo vingine vikubwa kuliko kinyerezi kwaajili ya kuzalisha megawatt nyingi zaidi na vituo vingine vijengwe kwaajili ya kuuza umeme nje tu?
Gesi itolewe mtwara kwenda karibu na mpaka wa nchi ambayo tunahitaji kuiuzia umeme alafu kijengwe kituo cha kuzalisha umeme hapo na hao jamaa wachukulie umeme hapo na kusambaza nchini kwao
-Gesi asilia haijazwi kwenye clynder huunganishwa direct kama dawasa wanavyounganishia watu maji
Nilisikia mradi wa kusambaza gesi majumbani ulianza kwa majaribio baadhi ya maeneo
Lengo ni kusambaza gesi ikibidi nchi nzima
na watu waache kutumia LPG na badala yake tutumie gesi yetu ni sawa lakini
Kwanini
Hii nguvu isitumike kuzalisha umeme wa kutosha kabisa na kuwauzia wananchi unit kwa shilingi 100?
Ambapo watu watatumia umeme kupikia badala ya gesi
Kutumia gesi kupikia badala ya umeme ni sawa na kutumia raw material tu gesi ifanyiwe process na iwe umeme watu wapikie umeme
Kwanini watu wanatumia gesi kupikia jibu ni kwamba gesi ni nafuu kuliko umeme maana yake tukishusha bei ya umeme hakuna sababu ya kutumia gesi tena
Kama naweza kupika kwa unit mbili au tatu ambazo ni mia mbili au miatatu kwanini nitumie gesi
Kwa kutumia gesi tu tulionayo, nchi hii inaweza kuuaga umasikini kabisa
Kuna jamaa mmoja aliwahi kusema
Sio kila kitu kinahitaji pesa vingine vinahitaji akili tu
Unapozalizasha umeme wa kutosha ndani na kuuza nje
Wananchi ukawauzia unit sh100
Unaongeza uzalishaji kwa mtu mmojammoja na taifa kwa ujumla
Uzalishaji viwandani utaongezeka sana wawekezaji wataongezeka na wataanzisha viwanda vikubwa kabisa kwa kuwa kuna umeme wa uhakika
Watu wengine hawaji kuwekeza kwakuwa wakiangalia Tanzania wanaona hakuna umeme wa uhakika
Biashara zitafanyika sana vifaa vya umeme vitauzika sana
Matumizi ya vifaa vya umeme kama mafridge, majiko ya umeme, air condition, micro wave mashine za kufua vitaongezeka kwa kuwa umeme ni rahisi mzunguko wa pesa utakuwepo
Watawala wetu wanapokwama Ni wapi?
-Huwenda nimewaza Mambo ambayo hayapo au hayawezekani naomba kueleweshwa