Hivi gesi yetu inayochimbwa Mtwara inatumika wapi?

michosho

JF-Expert Member
Mar 17, 2012
507
500
Kama mgao wa umeme unaendelea na tuliaminishwa kuwa kwa wingi wa gesi ile tatizo la umeme litakuwa historia Tanzania.

Sasa hyo gesi inatumika wapi? Au gesi inaenda nje, alafu sisi tunaendelea kudunduliza umeme wa maji?

Mwanzo nilidhani mgao umekomeshwa kabsa katika awamu hii ya tano kumbe ilikuwa, part time tu.

Anyway mlioko huko kwenye vitengo vya gesi na mko humu, naomba kuelimishwa kuhusu gesi ya Mtwara, kama ifuatavyo:-

1.Kiwango cha upatikanaji,
2.Inatumika wapi na kwa kiwango gani?
3.Fedha ya huo mradi ilitoka wapi?
4.Je, mikataba ilisha patikana(ilishawekwa wazi)
5....
6....
7....
Wadau, ongezeni maswali, tupate kueleweshwa na wataalamu walioko humu.

Ahsanteni.
 
Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
26,540
2,000
Km mgao wa umeme unaendelea, na tuliaminishwa kuwa kwa wingi wa gesi ile tatizo la umeme litakuwa historia Tanzania.

Sasa hyo gesi inatumika wapi?? Au gesi inaenda nje, alafu sisi tunaendelea kudunduliza umeme wa maji.??

Mwanzo nilidhani mgao umekomeshwa kabsa ktk awamu hii ya tano..kumbe ilikuwa,part time tu...

Anyway...mlioko huko kwenye vitengo vya gesi na mko humu.. naomba kuelimishwa kuhusu gesi ya mtwara, km ifuatavyo:-

1.Kiwango cha upatikanaji,
2. Inatumika wapi na kwa kiwango gani??
3. Fedha ya huo mradi ilitoka wapi??
4. Je, mikataba ilisha patikana(ilishawekwa wazi)
5.........
6.........
7.....
Wadau,Ongezeni maswali, tupate kueleweshwa na wataalamu walioko humu.

Asanteni.
Ukipata Jibu nami ni-tagg please
 
Labo

Member
Dec 17, 2016
44
95

4. Hadi sasa ni fedha kiasi gani iliyopatikana kupitia hiyo gesi na ni lini report yake ilitangazwa kwa umma ili kujua maendeleo yake?
 
Nukta5

JF-Expert Member
Jun 7, 2014
1,133
2,000
Hata wachimbe uranium tatizo la mgao litaendelea hadi tutapofika mwisho wa dunia, bado ujajiuliza tuna viwanda takribani sita vya sukari lakini sukari ya kutoka nje ni rahis kuliko ya viwandani. Wanasiasa sio watu wa kuaminika sana
 
Mr Q

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
9,962
2,000
hapa 10% inaweza kuwa inahusika? kila anaye ingia anabuni mradi kisha wawekezaji makubaliano mwisho wa siku 10%?
 
fazam

JF-Expert Member
Feb 6, 2014
1,687
2,000
Kama mgao wa umeme unaendelea na tuliaminishwa kuwa kwa wingi wa gesi ile tatizo la umeme litakuwa historia Tanzania.

Sasa hyo gesi inatumika wapi? Au gesi inaenda nje, alafu sisi tunaendelea kudunduliza umeme wa maji?

Mwanzo nilidhani mgao umekomeshwa kabsa katika awamu hii ya tano kumbe ilikuwa, part time tu.

Anyway mlioko huko kwenye vitengo vya gesi na mko humu, naomba kuelimishwa kuhusu gesi ya Mtwara, kama ifuatavyo:-

1.Kiwango cha upatikanaji,
2.Inatumika wapi na kwa kiwango gani?
3.Fedha ya huo mradi ilitoka wapi?
4.Je, mikataba ilisha patikana(ilishawekwa wazi)
5....
6....
7....
Wadau, ongezeni maswali, tupate kueleweshwa na wataalamu walioko humu.

Ahsanteni.
yawezekana bomba zimeziba haitoki
 
FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
21,714
2,000
Gesi iliyogunduliwa juzi juzi ya Msimbati Mtwara bado haijaanza kuchimbwa, inaweza kuchukua hata miaka 10 kuanza kuchimbwa. Ile iliyogunduliwa miaka ya nyuma ya Songas na Mnazi bay ndio inayotumika Kinyerezi power plant na ubungo power plant kuzalisha umeme, pia imesambazwa baadhi ya viwanda jijini Dar. Na kwasasa umeme wa gesi unaozalishwa Ubungo na Kinyerezi I power plants bado hautoshi kwani mahitaji ya umeme yanaongezeka kwa kasi, na ndio maana serikali iko mbioni kukamilisha na kuwasha mitambo ya Kinyerezi II power plant ili kusaidia kupunguza uhaba, pia nadhani patakuwa na Kinyerezi III na Kinyerezi IV power plants zitafuata ili kuendelea kupambana na uhaba. Stiegler's gorge ndio baba lao kabisa, muwe waelewa na sio watu wa kulia lia kama kuku wanataka kutaga.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom