kama wangemudu gharama ingekuwa vizuri sana, kwani ni sehemu ya promotion na labda hata swali hili nililouliza lisingenisumbua!!! heri yangu nina mahali pa kuulizia, imagine wako wangapi wanaojiuliza swali kama hili kimyakimya???
Jibu rahisi ni kuwa hana mpinzani na watanzania wamemkubali, wewe unadhani kuzunguka Tanzania nzima kulikuwa na maana gani? ama unafikiri hao wajumbe wa mkutano mkuu wanatoka wapi kama si huko mikoani? ameshapitishwa period.