Elections 2010 Hivi Dr Slaa alipitishwa lini na mkutano mkuu kugombea urais?

Ni vizuri tukasikia Chadema wenyewe wanasemaje kuhusu suala hili. Pia siku hizi kwa maendeleo ya ICTs vikao au makubaliano sio lazima watu wakutane physically. Katiba ya Chadema kwa kusoma haraka haraka kuna vikao vya dharura, je haiwezekani walikaa kikao cha dharura virtually?!
 
Back
Top Bottom