The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 38,613
- 119,878
MKUU,HUYO AMEKIMBILIA KUCOPY GOOGLE NA KUPASTE HAPA,WALA HATA HAKUSOMA KILICHOANDIKWA, KUNA MKUU AMEMFAHAMISHA KWENYE POST #49 LAKINI KAJIFANYA HAJAIONA.!!naheshimu swala la dini maana kila mtu anahaki ya kuabudu atakavyo. sasa ndugu kingereza unakielewa vizuri?? wapi hapo kwenye hiyo aya imeruhusu waislam kula kisichochinjwa na muislam?
Mimi binafsi siwezi kuchinja, nawasifu wote waliojariwa moyo huu, mimi kama ni kuku nikienda kunuwa narudi naye nyumbani ameshatengezwa kabisa kama ni kuweka kwenye friji au kuingizwa jikoni.Kwangu nachinja mwenyewe, kama kuna dini inayokataza mimi nisichinje, au kwamba nikichinja hiyo nyama ni haramu na hatoila, I'm very sorry kwa kweli.
Mapokeo ta hizi imani zetu yanatupofusha at times, muislamu akichinja kila mtu ale, akichinja mkristo ni haramu na jamii imeaminishwa hivyo, that's absurd!!
Ndugu Irioko unafahamu maana ya "People of the Book" au "ahlul kitaab" kiistilahi na si kilugha?naheshimu swala la dini maana kila mtu anahaki ya kuabudu atakavyo. sasa ndugu kingereza unakielewa vizuri?? wapi hapo kwenye hiyo aya imeruhusu waislam kula kisichochinjwa na muislam?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nani aje sasa labda mwigulu.View attachment 438079
KweliWakristo sio tu kwamba haturuhusiwi kuchinja, tunaweza na tunaruhusiwa kula chochote isipokua nyamafu tu. Tukiamua kuchinja wenyewe hakuna tatizo lolote kwa upande wetu, tatizo jamii zetu zimeingiliana na kuna ukaribu wa hali ya juu sana na ujirani kati ya waumini wa dini hizi mbili, sasa kwa wengine hawaruhusiwi kula kilichochinjwa bila kufuata taratibu zao, kuamua kuchinja wenyewe italeta kuwanyima ushiriki wa hao ndugu na jamaa zetu.
Tunafanya hivyo kwa kuweka maelewano tu na kujumuika, kuchinja tunaweza sana. Kama hatuwezi, mnyama nani hua anachinja?
Kaka, lete maandiko unayoyafahamu kuthibitisha madai ya kuwa mwanamke haruhusiwi kuchinja.Hebu tulia kwanza,kunywa maji na urelax, nimekwambia hivi dini ya kiislam haiendeshwi na google na wewe usipoteze time yako kutaka kupotosha coz hutafanikiwa, naona unakuja spidi kama umetumwa vile?!
Kwa vipi mkuu? Title ya thread imesema kuchinja na wazo lililonijia kichwani ni hilo la kuchinja watu. Sioni tatizo liko wapi mpaka unishutumu hivyo. Takbih !!!Watu wengine bana ,mmeumbwa kuchafua tu hali ya hewa kwenye thread za watu [emoji3][emoji3]
Kwa uelewa wangu mimi; waislam hawajakatazwa kula kilichochinjwa na mkristo au asiyekuwa muislam ila wamekatazwa kilichochinjwa kwa nia ovu kama vile matambiko au kimenuiwa miungu isiyokuwa Mwenyezi MUNGU. Ikumbukwe kuwa kichinjwa hata kama amechnja mwislam kama kimechinjwa kwa nia ovu kama nilivoeleza hapo juu itakuwa ni haraam kuliwa na muislam. Mwenyezi MUNGU ni mjuzi wa tunayohitilafiana.wale ambao walishuhudia aya hiyo iliposhuka hawakufahamu hivyo unavyofahamu wewe. Wao walifahamu vyakula vyote ikiwemo vichinjwa.
Ina faida gani hii njia kuzidi njia zingine mbadala? Inapunguza maumivu kwa mchinjwaji au? Why this and not any other way?Hivi ndio inavyotakiwa.View attachment 438083
So wise! I am super humbled!Wakristo sio tu kwamba haturuhusiwi kuchinja, tunaweza na tunaruhusiwa kula chochote isipokua nyamafu tu. Tukiamua kuchinja wenyewe hakuna tatizo lolote kwa upande wetu, tatizo jamii zetu zimeingiliana na kuna ukaribu wa hali ya juu sana na ujirani kati ya waumini wa dini hizi mbili, sasa kwa wengine hawaruhusiwi kula kilichochinjwa bila kufuata taratibu zao, kuamua kuchinja wenyewe italeta kuwanyima ushiriki wa hao ndugu na jamaa zetu.
Tunafanya hivyo kwa kuweka maelewano tu na kujumuika, kuchinja tunaweza sana. Kama hatuwezi, mnyama nani hua anachinja?
Hata kukata magovi tulikuwa tunapuuza, tulikuwa tunasema ni islamic thing,lakini tumegundua leo kuwa ndio njia sahihi ya kuzuia maambukizi ya ukimwi tunapanga foleni ya kuyatoa masoksi hayo,hata wajaluo wamenyoosha. manenoIna faida gani hii njia kuzidi njia zingine mbadala? Inapunguza maumivu kwa mchinjwaji au? Why this and not any other way?
S.A.W umesahau kuweka hii.Founder wao Muhammad.
Hujiulizi nani huwa anachinja kitimoto??
Tatizo kitabu chenu hamkijui, wewe mmakonde alafu unasoma msahafu wa uloandikwa kwa kiarabu... Kitu kidogo lete aya/sura kuthibitisha na mkiletewa oooh!! Mnauchafua uislam!! Mbona mnapenda kulalamika nyie.google imeanza lini?? Wataka leta haya mambo ya kuuchafua msahafu mtakatifu hapa?? Msahafu haukuletwa na google yako ujue. Kelb sana tu
Jamaa Ahsante.Unaweza itoa hiyo aya ...... au umenogewa na mada?
Mbuzi umemkatia majani miaka 2 halafu mwingine anakuja kumchinja si majanga hayoSiwezi kulipa mtu kuja kunichinjia mboga yangu, kama ni kuuza hapo sawa.