Wala usimchinje mbane na mlango,halafu umle na familia yako mbona mswano tu.Mm siwez kununua mbuzi wangu tena kwa hela yangu halaf unipangie wa kuchinja! Nasema haiwezekani ! Kila mtu atachinja kilicho chake! Huu mchezo wa kuchunguliana lazima ukome!
Unaweza kutupa dalili?Siku hizi hakuna Alal kitabu kuna mazoun na wakristo ahlal kitabu ni wale wanapo sikua aya za qur-an husujudu na kukubali ila hawa wakaao kwenye mabench sio ahlal kitabu ni wa shirikina tu ni haramu kula kilicho chinjwa na wao
Asante sana Mangataramafunzo ya bure sina. Njoo masjid utayapata mengi zaid
Wewe unaonyesha ni mkorofi ndugu yangu
Sawa ila jaribu kumuelewesha mtu bila kutumia lugha kalisawa kwa hivyo?? Ka miye ni mkorofi, acheni kuandika upuuzi wenyu hapa. JF ni kwa ma GT sio kwa machizii
Gani sasa, watu hunyonga tu,wala sio kuchinja.mkiristo
Sawa ila jaribu kumuelewesha mtu bila kutumia lugha kali
Uliona WAP kitimoto anachinjwa?wanauwa kwanza na rungu la maana.Kuchinja tunaweza sana ila ni kuheshimiana kiimani tu. Mbona mdudu tunachinja wenyewe.
Unakula kibudu jombaaa.unachinja kwa jina la nani?Mimi nachinja mwenyewe nyumbani kwangu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nakumbuka zogo LA mwanza jamani juu ya waisilam na wakristo kuusu kuchinja daaaah mimi nachinja mwenyewe eti kunasiku nyumban akikuja mgen muislam basi nikaambiwa nipeleke kuku kushinja kwa said yani ninyumba ya 10 nikaona huo ni upuuzi nikazunguka nyama tuuu nikafanya yangu
Sawa but kumbuka maneno matamu hushawishi zaidi kuliko maneno makaliLugha kali sio kumjibu mpu.mbaav bali lugha kali ni ku quote Kuran tukufu visivyo. Ingelikuwa enzi hizo au nchi nyingine, ni kumtangazia Fatwa tu tukione kichwa chake mezani. Hiyo ndo lugha kali
wacha wachinje.watu wanapenda damuHujiulizi nani huwa anachinja kitimoto??
Ujinga huo mim sina NACHINJA MWENYEWE MFUGO WANGU,, Awe Nguruwe,, Jogoo,, Mbuzi Sihitaji mfugo wangu uelekezwe Kibla nachinja TU,,
Sisi Mungu wetu siyo Kama King,amuzi kwamba lazima dish lielekee upande Fulani ndo upate Chanel,,
Sisi pande zote Mungu wetu anaona na kusikia maombi yetu.,, iwe wakt wa kuchinja,, kuombea uponyaji nk pande zote yupo TU.