Hivi Chenge alifikia kuwa na Bank yake Tanzania ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi Chenge alifikia kuwa na Bank yake Tanzania ?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Lunyungu, Aug 12, 2009.

 1. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #1
  Aug 12, 2009
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Ama kweli kama kuna mambo yanatendeka hili lilinipita kabisa .Leo hapa mjini Moshi kuna mtu kani habarisha juu ya Chenge kuwa na Bank na iliitwa Chenge Rural Bank ama CRB , na mie sikuwahi kulijua hili .Je wewe umesha wahi kulijua hili ? Nifungueni macho tafadhali
   
 2. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2009
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,477
  Likes Received: 1,439
  Trophy Points: 280
  hilo jipya wadau wa moshi tafadhari mtujuvye juu ya hilo, kama ni kweli basi hiyo itakuwa issue ngeni kwa wengi
   
 3. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #3
  Aug 13, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Hivi unajua Ndesamburo ana majumba mangapi Mayfair London?
   
 4. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #4
  Aug 13, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Mkuu, mangapi kati ya hayo majumba aliyajenga kwa kutumia jasho la walalhoi? Itakuwa vyema tukifunguana macho hapo pia!
   
 5. S

  Shangazi JF-Expert Member

  #5
  Aug 13, 2009
  Joined: Mar 24, 2009
  Messages: 307
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Tatizo si kuwa na mali na majengo. Tatizo ni je zimepatikanaje?
   
 6. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #6
  Aug 13, 2009
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  si mambo ya uwekezaji wa ndani hayo....hiyo ndo TZ zaidi ya uijuavyo
   
 7. K

  Kachero JF-Expert Member

  #7
  Aug 13, 2009
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 216
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi hizi habari ni za kweli?
   
 8. Kinyambiss

  Kinyambiss JF-Expert Member

  #8
  Aug 13, 2009
  Joined: Dec 2, 2007
  Messages: 1,372
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Huyu jamaa pamoja na wizi is a big investor in stocks and other securities. Yuko bar mpaka majogoo lakini sio kama wazee wengi wakibongo.. The money he stole, he invested. They will never ever ever be able to do anything to him.. He is a big time investor. Habari ndio Hyooo..
   
 9. P

  Papa Sam Senior Member

  #9
  Aug 13, 2009
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nilini NDESAMBURO alimilikishwa mamlaka ya ulaji katika taasisi za umma. kweli UPPE bado inatutafuna, yaani mpaka leo hujui kwanini bilioni moja ya chenge kama mtumishi wa umma ilizua zogo , wakati huohuo Mengi au ndesa wana mabilioni Bank,
  kwako kijana , unajua kua mzee Ndesa anajitanua kibiashara mpaka New York kwa Obama, hakuna cha ajabu kufanya biashara
   
 10. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #10
  Aug 13, 2009
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Hivi Dr Ramadhani Dau wa NSSF (CEO) ana utajiri kiasi gani?
   
 11. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #11
  Aug 13, 2009
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Hiyo CRB hatukuwahi kusikia, habari hii itakuwa mpy. Vipi ile benki mpya iitwayo 'Bank M' siyo mmoja wao?
   
 12. Kinyambiss

  Kinyambiss JF-Expert Member

  #12
  Aug 13, 2009
  Joined: Dec 2, 2007
  Messages: 1,372
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Dau kisu chake kirefu saaaaanaaaaaaaaaaa
   
 13. J

  Joyceline JF-Expert Member

  #13
  Aug 13, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 1,010
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Bank M siyo mpya tena ina miaka miwili sasa upya umeisha
   
 14. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #14
  Aug 13, 2009
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145

  Tuelezee kidogo
   
 15. I

  Interested Observer JF-Expert Member

  #15
  Aug 13, 2009
  Joined: Mar 27, 2006
  Messages: 1,402
  Likes Received: 434
  Trophy Points: 180
  From your words above: For you is a hero!
   
Loading...