Hivi CHADEMA bado wapo?

Hivi CHADEMA bado wapo?

Chadema mpo kweli?au ndo mmeshakufa?nawatonya tu msije mkasema sijawatonya kick ndio hii hapa ya kutokea kwa soko la karume kuwaka moto,sasa nyie tungeni propaganda nzuri kuwa moto huo uliwashia ikulu ukaja tupwa soko la karume maana nyie si ndio kile chama cha matukio?na tukio ndo hilo sasa!changamkeni
 
Leo tuko kwenye bajeti na World Cup........haya yako ni kutaka kututoa nje ya mada kuu za leo......
 
Chadema tuko busy na katiba mpya. Katiba kwanza mengine baadaye.
 
Chadema mpo kweli?au ndo mmeshakufa?nawatonya tu msije mkasema sijawatonya kick ndio hii hapa ya kutokea kwa soko la karume kuwaka moto,sasa nyie tungeni propaganda nzuri kuwa moto huo uliwashia ikulu ukaja tupwa soko la karume maana nyie si ndio kile chama cha matukio?na tukio ndo hilo sasa!changamkeni
Mbona unawasahau ccm wanaotumia matukio hata ya misiba (ref: msiba wa mama Zitto)
 
Siku mtu akinitukana kwa kusema "lione lina akiri kama za maccm" nitanyoka nae mpaka nihakikishe mimemwachia alama yoyote mwilini ili iwe kumbusho maisha yake yote hapa duniani!!!!!

Hakuna tusi kubwa kushinda hilo I swear......

BACK TANGANYIKA
 
Chadema mpo kweli?au ndo mmeshakufa?nawatonya tu msije mkasema sijawatonya kick ndio hii hapa ya kutokea kwa soko la karume kuwaka moto,sasa nyie tungeni propaganda nzuri kuwa moto huo uliwashia ikulu ukaja tupwa soko la karume maana nyie si ndio kile chama cha matukio?na tukio ndo hilo sasa!changamkeni
chadema si chama, CHADEMA ni Imani!
 
Ww Mtunga mada unaishi kuzimun au huoni CDM jinsi kinavyo endelea kwa kasi utazan ndo chama tawala.
 
Waishukuru ukawa sijui ingejificha wapi?pambaneni matukio ndio hayo wamachinga na kuchomwa soko pambaneni,mtoke
 
Ni imani ya wajinga na misukule maana ndio hawajielewi na ndio waliozoea kudanganywa
 
Chadema mpo kweli?au ndo mmeshakufa?nawatonya tu msije mkasema sijawatonya kick ndio hii hapa ya kutokea kwa soko la karume kuwaka moto,sasa nyie tungeni propaganda nzuri kuwa moto huo uliwashia ikulu ukaja tupwa soko la karume maana nyie si ndio kile chama cha matukio?na tukio ndo hilo sasa!changamkeni

Washaanza toka walivyosikia tu habari za moto.

Dah! misukule ina matatizo makubwa sana.
 
Huyu mtoa mada ni msukule maana naona kama hajielewi kabisa, chadema ni baba lao, ccm wanafyata mkia
 
Chadema mpo kweli?au ndo mmeshakufa?nawatonya tu msije mkasema sijawatonya kick ndio hii hapa ya kutokea kwa soko la karume kuwaka moto,sasa nyie tungeni propaganda nzuri kuwa moto huo uliwashia ikulu ukaja tupwa soko la karume maana nyie si ndio kile chama cha matukio?na tukio ndo hilo sasa!changamkeni

Ha ha ha! Kibabu kinajipanga kipo studio, soon kitaibuka na single hii hii.
 
Waishukuru ukawa sijui ingejificha wapi?pambaneni matukio ndio hayo wamachinga na kuchomwa soko pambaneni,mtoke

single zao hazina mvuto. Kuna watu walijtuma sana na kujitolea weeee kwa ajili ya chdema, kumbe hawakujua wengine wamepoteza uhai, wengi walemavu, wengine mpaka wamepata ngoma sababu ya chagadema. Watu wamewastukia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom