mmaranguoriginal.
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,060
- 460
chadema watanzania wameichoka sana
vipi mkuu act ipo au nayo mahututi icu
chadema watanzania wameichoka sana
Na wewe umefiwa??Lukosi rejesha rambirambi za mjane wetu
Na wewe umefiwa??
Ndugu zanguni,
Kama ilivyotabiriwa, CHADEMA ndio inayeyuka kama barafu juani . Wengi tuliyajua haya lakini makamanda viroba wakabisha kwa matusi marefu marefu, lakini sasa nadhani nao wameanza kuamini kuwa CHADEMA ni kama ngoma wa mdundiko tu, haieleweki inakwenda wapi na sasa mwisho wa ngoma umefika wanajibanza kwa UKAWA.
JITAMBUENI MBULUMUNDUS
![]()

Hivi utajidanganya hadi lini hukuona picture juzi..hizi tabia za kupiga picture kabla ya tukio kuchanganya,kupiga picture mbele kabisa..na kwenda danganya watu..zina madhara kwa waliotuma....kuliko waliolengwa.Kwanini usipige pande zote kuthibitisha hilo..Ndugu zanguni, Kama ilivyotabiriwa, CHADEMA ndio inayeyuka kama barafu juani . Wengi tuliyajua haya lakini makamanda viroba wakabisha kwa matusi marefu marefu, lakini sasa nadhani nao wameanza kuamini kuwa CHADEMA ni kama ngoma wa mdundiko tu, haieleweki inakwenda wapi na sasa mwisho wa ngoma umefika wanajibanza kwa UKAWA. JITAMBUENI MBULUMUNDUS![]()
Hivi utajidanganya hadi lini hukuona picture juzi..hizi tabia za kupiga picture kabla ya tukio kuchanganya,kupiga picture mbele kabisa..na kwenda danganya watu..zina madhara kwa waliotuma....kuliko waliolengwa.Kwanini usipige pande zote kuthibitisha hilo..
Mbona lumumba wamejaa manyani tu, hakuna binadamu hata mmoja.