Hivi CHADEMA bado wapo?

Hivi CHADEMA bado wapo?

Nilifikiri wenye mtindio wa ubongo ni Lusinde na Komba pekee kumbe Lumumba mtindio ni fasheni? Kwa hili nalo unalipwa? Basi mlipaji ndio taahira zaidi ya kiwango cha kawaida
 
naona mtoa mada ametoka kuagegedwa na vuvu zela la magamba, na bado.
 
Shetani hana shukrani unaweza ukajituma mtumikia ukimaliza tu anakukimbia sasa hawa hawana tofauti na shetani na sahivi waandae single nyingi watanzania wamefunguka watazikia wao na misukule yao michache iliyoshindwa kujiokoa
 
Nilifikiri wenye mtindio wa ubongo ni Lusinde na Komba pekee kumbe Lumumba mtindio ni fasheni? Kwa hili nalo unalipwa? Basi mlipaji ndio taahira zaidi ya kiwango cha kawaida
Mbona lumumba wamejaa manyani tu, hakuna binadamu hata mmoja.
 
Siku mtu akinitukana kwa kusema "lione lina akiri kama za maccm" nitanyoka nae mpaka nihakikishe mimemwachia alama yoyote mwilini ili iwe kumbusho maisha yake yote hapa duniani!!!!!

Hakuna tusi kubwa kushinda hilo I swear......

BACK TANGANYIKA

hahaha mkuu umetisha hii mijamaa ilipotufikisha ni hatar
 
kadima siku hizi sio chama cha siasa bali ni saccos ambayo makao yake makuu yapo tengeru. pole kama bado unafikiria kile ni chama cha siasa/

Chadema mpo kweli?au ndo mmeshakufa?nawatonya tu msije mkasema sijawatonya kick ndio hii hapa ya kutokea kwa soko la karume kuwaka moto,sasa nyie tungeni propaganda nzuri kuwa moto huo uliwashia ikulu ukaja tupwa soko la karume maana nyie si ndio kile chama cha matukio?na tukio ndo hilo sasa!changamkeni
 
You? sorry I'm not your type!

quote_icon.png
By daviey69
chadema si chama, CHADEMA ni Imani!


Malizia basi.
 
Mi nadhani you are looking at it all the wrong ways, and you are not seeing the big picture here! Watanzania hawahitaji CHADEMA, wanahitaji mabadiliko. Sasa kama yatakuja kupitia nini, that does not matter.

Kwa sasa tunahitaji kuona tunapata system mpya itakayokua na majibu ya matumaini kwa maisha yetu kama wananchi.

**Tunahitaji system itakayotuhakikishia huduma za afya zilizoboreshwa mpaka na hao wanafiki waanze kutibiwa nchini. **System itakayosimamia matumizi sahihi na makusanyo sahihi ya kodi za wananchi, ikizingatia kuwapunguzia mzigo usio wa lazima

**System itakayowahakikishia wamanchi elimu bora yenye kumsaidia anayeipata, badala ya huu unafiki wa sasa wa wao kukimbiza watoto wao nje, huku wakiwaambia watu shule zetu ni nzuri

**System itakayowapa wote haki, hata wale ambao ni wahalifu, na siyo hii ya sasa ambayo haiwezi kuwatendea haki hata wasio na makosa.

Tunataka mabadiliko yatakayotutoa kwenye huu utawala wa watu wenye tamaa za fisi na uroho wa nguruwe. Just MABADILIKO. it doesn't matter yanatoka wapi. Hatujali kama kinachotufikisha huko kitaitwa CHADEMA, JAMII MPYA, MTI MKAVU au nini sijui. What matters is ustawi wa maisha ya Watanzania. And that is what this big picture is all about!
Kama nimekusoma vizuri ni wazi unakiri kuwa CHADEMA kwa sasa haihitahijiki ama kwa lugha nyingine imejifia, anyway kwa mtazamo wako je CHADEMA au UKAWA ni jibu au suluhisho kwa matatizo ya Mtanzania hususan ukiangalia aina ya viongozi waliokuwepo CHADEMA au UKAWA....hebu fanya assessment ya uongozi wao katika hivyo vyama then uone utayar wao wa kulitoa taifa hapa lilipo na kulipeleka huko unapofikiri...
 
Kama nimekusoma vizuri ni wazi unakiri kuwa CHADEMA kwa sasa haihitahijiki ama kwa lugha nyingine imejifia, anyway kwa mtazamo wako je CHADEMA au UKAWA ni jibu au suluhisho kwa matatizo ya Mtanzania hususan ukiangalia aina ya viongozi waliokuwepo CHADEMA au UKAWA....hebu fanya assessment ya uongozi wao katika hivyo vyama then uone utayar wao wa kulitoa taifa hapa lilipo na kulipeleka huko unapofikiri...

Hapana mpendwa. Ninachojua na kuamini ni kuwa:

1. Nchi hii inahitaji mabadiliko.

2. Mabadiliko hayaji kwa siku moja.

3.Kinachofanyika sasa, ni mchakato wa kuleta mabadiliko hayo, kwa hiyo CHADEMA ikifanya inachoweza mpaka itakapoishia, wakaja wengine kesho wakafanya sehemu yao mpaka tutakapofikia, that is something. Siyo lengo letu kama Watanzania kuwa mabadiliko yaletwe na CHADEMA, ila ni nia na lengo letu kuwa Tanzania ipate mabadiliko.

Kuhusu Uongozi wa CHADEMA.

Uongozi wowote unaweza kuwa mzuri au mbaya. Inategemea na mazingira tu. By the way mimi naamini kuwa Nchi yenye wananchi milioni 45 ina hazina ya kutosha ya watu, hekima, na busara. Kuna wengi sana wenye uwezo wa kuongoza. Na ni kwa kujua na kuamini hivyo, nathubutu kusema wananchi wakiwa tayari kupokea mabadiliko, wanaweza kabisa, bila shaka yoyote, kujiendesha katika mabadiliko hayo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom