Mkuu ni yule mdogo wako anayesoma jangwani sekondari.
Kwa bahati mbaya sana sijawahi kuwa na ndugu huko usemako ila jawabu lako linawiana na upeo wako kwa asilimia zote kinyume kabisa na uwiano kati ya mwili wako na akili yako.
Mkuu ni yule mdogo wako anayesoma jangwani sekondari.
Muulize Lukosi anawajua hao malaya wa ccm.
Ndugu zanguni,
Kama ilivyotabiriwa, Chadema ndio inayeyuka kama barafu juani . Wengi tuliyajua haya lakini makamanda viroba wakabisha kwa matusi marefu marefu, lakini sasa nadhani nao wameanza kuamini kuwa chadema ni kama ngoma wa mdundiko tu, haieleweki inakwendfa wapi na sasa mwisho wa ngoma umefika wanajibanza kwa ukawa.
JITAMBUENI MBULUMUNDUS
![]()
Ndugu zanguni,
Kama ilivyotabiriwa, Chadema ndio inayeyuka kama barafu juani . Wengi tuliyajua haya lakini makamanda viroba wakabisha kwa matusi marefu marefu, lakini sasa nadhani nao wameanza kuamini kuwa chadema ni kama ngoma wa mdundiko tu, haieleweki inakwendfa wapi na sasa mwisho wa ngoma umefika wanajibanza kwa ukawa.
JITAMBUENI MBULUMUNDUS
![]()
Political Natural death. Siku hizi hakuna hata Peoples Power tena kwenye mikutano yao.
Hata kwenye makabrasha ndani ya ofisi zao za Ufipa, Kinondoni utakuta neno UKAWA limeanza kuonekana mara nyingi zaidi la neno CHADEMA.
Tulikuwa tunawasikia wakisema CHADEMA ni mpango wa Mungu, kwa sasa hao hao wameanza kusema UKAWA ni mpango wa Mungu. Yaani Mungu wao hafahamu hata yupi ndiyo mpango wake kama wanataka kutuaminisha kuwa CHADEMA bado ni hai.
Si nilisikia wamebadili jina la chama na kinaitwa UKAWA siku hizi
View attachment 160981Mazombiiiiiieeeeh....
ccm maana yake tumbo mbele maendeleo nyuma, nani hajui hilo? Achenikuwalaghai watanzaniawewe ndio haujitambui kabisa mwigulu amefanya ziara huko uk zaidi ya 2 lakini katika picha zote sijawahi kukuona je huwa haualikwi? Au wewe uanachama na ushabiki wako kwa ccm unaishia humu jf tu na hakuna mwanaccm yeyote anayekutambua kuanzia walioko huko na waliopo huku, au wanaogopa kujidhalilisha kutokana na kazi ya ukuli unayofanya huko?
![]()
katibu wa ccm shina la birmingham na mwenyekiti wa kamati ya maadili tawi la uingereza bi. Lilian barongo akiwa pamoja na mwenyekiti shina la northmpton dr. Abdalah saleh na bi. Rose kiputa katibu shina la cardiff wales
![]()
.baadhi ya viongozi na wanachama wa chama cha mapinduzi tawi la uingereza wakiwa nje ya ukumbi wa mkutano wa st. Patrick jijini leicester wakisubiri kuwasili kwa naibu katibu mkuu ccm taifa mh. Mwigulu nchemba.
![]()
Mbona ana ongelea mambo mengine tu. mjane vipi? alishapata haki yake,Lukosi baki ccm huko utalindwa km wezi wenzio wanavyolindwa maana ccm ni genge la wahalifu.mafisadi,wazinzi, majangili(kinana)Wauza madawa yakulevya,walarushwa.chadema ipo ww piga box ukirudi utaikuta.Lukosi, pesa za rambi rambi vipi?
Mkuu umenichekesha sana, eti chadema mpango wa Mungu wakati viongozi wanavunja ndoa za watu ambazo zimeunganishwa na Mungu, sijui Mungu wao kabila gani?!.
Nikikumbuka rambirambi za Mwangosi machozi yanitoka....!