babalao 2
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 5,425
- 3,300
Mkuu, Stephen Wassira aliposema kuwa CHADEMA kitakufa 2014 hawakumuelewa. Sasa kila kitu hadharani
Najua mnaujua ukweli ya kuwa cdm ipo imara mnachofanya ni kutaka cdm ijiondoe ukawa ila ukweli ni kwamba Walipoungana Hamkujua sasa mnajichanganya sioni mkisema Ukabila na udini tna