kwahiyo we na dogo mna hobby sawa,kama inawafurahisha wote mbona rahame i dont care huwanaangalia,hapo mama watoto full kunipa mabango mie sijali.Kunasiku walikuja rafiki zake ndo nilimkera mara mia nilikuwa nimeconcetrate mie na dogo tunacheka kama nin,huko rafiki zake nikupigwa butwaa kama nini,yaani sie ndo hatuna habari..
View attachment 119270
mimi naipenda penguin of madagascar.......
Yani huwa nacheka sana........Haha penguins huwa inanifurahisha
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
hehehe turbo pale inaisha nilimhurumiaje,pale ile gamba lake lilipoungua mpaka ikbidi ajikunje tu,aisee acha tu yaani inasisimua sanaKatuni huwa zinachekesha sana na parts nyingi watoto hawaelewi sana nikienda cinema na princess nachekaaa sana dahhh..Turbo was nice tuliangalia mara ya mwisho!!
we kiboko ya zote ni Tom & Jerry asikwambie mtu ni nomaaaaaaa