Pancras Suday
JF-Expert Member
- Jun 24, 2011
- 8,144
- 3,848
Kwenye computer yangu nimetenga nafasi kwa ajili ya katuni
aisee animation huwa inaizidi mpaka movies za kawaidasijui animation gan sijazichek mpaka now cz nmechek nyingi ila Kali kuliko zote kwangu ni RANGO .ALLADIN.FROZEN
shrek naikubali pia aiseeKitu Shrek...hiyo si mchezo. Tukianza kuangalia na mwanangu hatuichoki.
zinafurahisha sana acha tumeridaaaaa... napenda sana cartoons aiseee...
hizo sijaangalia ngoja nitazisakaAsee kuna Pussy in boots na tangled hizi zilikuaa kali baraa,,na nyingine nying sana mpk nasahau majina,ila animations ni nzuri sna,na co kwa watto tu
mkuu hapo monsters university ndo balaaaaaaaaaaM animation nlzotokea kuzpnda n hz Tangled,Rio1&2,Rango,The lego movie,Turbo,how to train ur dragon,Epic, Monsters
University,Cloudy with a
Chance of Meatballs1&2, Escape from
Planet Earth,