Hivi Cartoons kwa watoto tu?

Hivi Cartoons kwa watoto tu?

Kitu PUSSY IN BOoT, RANGO, MONSTER UNIVERSITY hata nikiwa kizee cha miaka 300 ntaangalia cartoon tuuu
 
Attachments

  • 1383372781980.jpg
    1383372781980.jpg
    16.7 KB · Views: 135
  • 1383372799262.jpg
    1383372799262.jpg
    123.4 KB · Views: 130
  • 1383372809867.jpg
    1383372809867.jpg
    15.5 KB · Views: 133
Mimi napenda sana mamovie katuni napenda lakini na mtoto wangu usipoangalia hata kula hali!!
 
Yeah imetulia!ha ha ha kwenye madagaskar i like to move it,move it x3,I like to MOVE IT!!!napenda wakianza kuyarudi lol!

Yani hapo huwa nashindwa kuvumilia uwa najikuta nasimama nami nayarudi....
 
mie kwenye pc nimeziclassify
drama
sci fi
animations (sijui ipi ambayo haimo humu nahisi zipo kibao....)
na zingine
 
Kama cartoons ni kwa watoto basi mo mtoto namba 1 wala sitakuwa.

I love cartoons na animation movies sana sana.

Lion king zote

Pocahontas is my best.

Kuna hii Alvin and the chipmunks, sijui ndo tunaiweka kundi gani. I love it.

Mimi huangalia sana programs za cartoon network na my kids.

Sikuizi kuna Mr bean ya cartoon pia.
 
haya mtoto mdogo mwenzangu twende tukachezee mchanga
 
me i dont care huwanaangalia,hapo mama watoto full kunipa mabango mie sijali.Kunasiku walikuja rafiki zake ndo nilimkera mara mia nilikuwa nimeconcetrate mie na dogo tunacheka kama nin,huko rafiki zake nikupigwa butwaa kama nini,yaani sie ndo hatuna habari..

View attachment 119270
sasa walikuwa wanashangaa nini?
 
Napenda movie animations zaidi ya cartoons...katuni pekee ninayoipenda labda ni Tommy n' Jerry maana huwa yaniondolea stress.

Nimeshaangalia animations nyingi hadi nyingine nimezisahau ila nizikumbukazo zilizonikosha ni Surf's Up, Kung Fu Panda zote, How to Train Your Dragon, Up, Ratatouille (panya chef lol), Ice Age zote na Madagascar zote (hapa namkumbuka Motomoto hahah)...
Hivi ukiwa na li nyau kama Garfield si utaham nyumba?
Jirani tizama na Asterix...... Ukipenda na story kuna Snowhite and the 7 dwarfs, Beauty and The Beast,.......... Gimme any cartoon and we are game.
 
Kama cartoons ni kwa watoto basi mo mtoto namba 1 wala sitakuwa.

I love cartoons na animation movies sana sana.

Lion king zote

Pocahontas is my best.

Kuna hii Alvin and the chipmunks, sijui ndo tunaiweka kundi gani. I love it.

Mimi huangalia sana programs za cartoon network na my kids.

Sikuizi kuna Mr bean ya cartoon pia.

Pink Panther? Kama nasikia ile theme song yake. Pocahontas tamu. Timon and Pumba. Hakuna matataaaa. lol
 
2008_kung_fu_panda_002.jpg

2.The Lorax
Z

3.Turbo
images

4.Brave
brave.jpg

5.The Princess and the frog
The-Princess-And-The-Frog-001.jpg

6.Sinbad legend of the seven seas

Sinbad_10.jpg
Hivi Princess and the frog sio Aladdin kweli?
 
Back
Top Bottom