Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 18,556
- 21,697
Horton + Ice Age ....
Yeah kung fu panda is hilarious too...nataka tukaangalie PLANES kesho but nahisi itakuwa boring....hehehe turbo pale inaisha nilimhurumiaje,pale ile gamba lake lilipoungua mpaka ikbidi ajikunje tu,aisee acha tu yaani inasisimua sana
Aisee animations huwa zinavutia sana,kung fu panda ni nzuri,halafu hiyo Ratatouille nzuri pia,jamaa mpishi balaaNapenda movie animations zaidi ya cartoons...katuni pekee ninayoipenda labda ni Tommy n' Jerry maana huwa yaniondolea stress.
Nimeshaangalia animations nyingi hadi nyingine nimezisahau ila nizikumbukazo zilizonikosha ni Surf's Up, Kung Fu Panda zote, How to Train Your Dragon, Up, Ratatouille (panya chef lol), Ice Age zote na Madagascar zote (hapa namkumbuka Motomoto hahah)...
HA HA HA huyo mnyama wa kwenye avatar yako ananiachaga hoi na hizo nuts maana yuko radhi afanye chochote azipate!!!Horton + Ice Age ....
Yeah imetulia!ha ha ha kwenye madagaskar i like to move it,move it x3,I like to MOVE IT!!!napenda wakianza kuyarudi lol!Planes bado sijaangalia.
Ushaangalia Alice in wonderland?
Napenda movie animations zaidi ya cartoons...katuni pekee ninayoipenda labda ni Tommy n' Jerry maana huwa yaniondolea stress.
Nimeshaangalia animations nyingi hadi nyingine nimezisahau ila nizikumbukazo zilizonikosha ni Surf's Up, Kung Fu Panda zote, How to Train Your Dragon, Up, Ratatouille (panya chef lol), Ice Age zote na Madagascar zote (hapa namkumbuka Motomoto hahah)...
halafu hiyo Ben10 sijui watoto wanafagilia nini,kwa upande wangu haijanivutiaMimi Dr hata niwe na miaka 70.......katuni is zea tu stei.......kama happy feet 2.....smurfs.......rio.......Jango..etc....na sasa natafuta planes......bado haijatua kwenye himaya yangu......vitu kama kina Ben10 and co.......hizo hapana.......ila Tom and Jerry hunitoi kwenye screen........
Hahahaaaaahehehe hakuna noma kama Jerry
Smurfs was nice aisee....I like CROODS it was so funny lol...EPIC niliipenda pia!!Mimi Dr hata niwe na miaka 70.......katuni is zea tu stei.......kama happy feet 2.....smurfs.......rio.......Jango..etc....na sasa natafuta planes......bado haijatua kwenye himaya yangu......vitu kama kina Ben10 and co.......hizo hapana.......ila Tom and Jerry hunitoi kwenye screen........
Hapana sijaona zote...nimeziona kirejareja tu!!NImeangalia na nimeipenda inachekesha.
Umeangalia "Cars"
halafu finding nemo
?
Horton + Ice Age ....
Mimi Dr hata niwe na miaka 70.......katuni is zea tu stei.......kama happy feet 2.....smurfs.......rio.......Jango..etc....na sasa natafuta planes......bado haijatua kwenye himaya yangu......vitu kama kina Ben10 and co.......hizo hapana.......ila Tom and Jerry hunitoi kwenye screen........