Hivi Cartoons kwa watoto tu?

Hivi Cartoons kwa watoto tu?

Smurfs was nice aisee....I like CROODS it was so funny lol...EPIC niliipenda pia!!

Hiyo Croods iliniacha hoi sana, jamaa wanawinda afu wanakupigia "Release the baby", yaani huyo baby ni muwindaji balaa, kama super sub kwenye soka vile.

Hapana sijaona zote...nimeziona kirejareja tu!!

Indeed Mimi,itafute Despicable Me 2, na uone mawazo ya watengenezaji, yaani ni kicheko kwa kwenda mbele, hasa ukikutana na El Macho na kuku wake. noma.

Hivi ukiwa na li nyau kama Garfield si utaham nyumba?
Jirani tizama na Asterix...... Ukipenda na story kuna Snowhite and the 7 dwarfs, Beauty and The Beast,.......... Gimme any cartoon and we are game.

Haha, Garfield. huyo paka unaweza kusema ametumwa. Ukienda kwenye action kuna Mulan, Epic, 9, etc etc.

Folder ambalo huwa ninapata shida kupunguza mafile ndani yake ni la animation. kwa hizi katuni series watoto huwa hawaelewi saaana, kwa mfano kuna moja, Sheep in the Big City, you need to be witty to understand all, hizi za kina Avatar, Ben 10, and co sina time nazo kwa kweli. Tom and Jerry itabaki kuwa Universal, maana kwanza hakuna dialog, zaidi ya ile ya mmama kuita - Thomas,... and few other.

Karibuni kwenue ulimwengu wa katuni, ulimwengu ambao umesaidia kushepu kiingereza changu, hadi sasa naonekana noma. 😀
 
Hiyo Croods iliniacha hoi sana, jamaa wanawinda afu wanakupigia "Release the baby", yaani huyo baby ni muwindaji balaa, kama super sub kwenye soka vile.

Indeed Mimi,itafute Despicable Me 2, na uone mawazo ya watengenezaji, yaani ni kicheko kwa kwenda mbele, hasa ukikutana na El Macho na kuku wake. noma
Hio nimeiona aisee..huyu el macho ananiachaga hoi...nilicheki PLANES this weekend kulikuwa na el macho plane which had a big crush on a french chick plane was so much fun with the flirting and all....BTW sidhani kama watoto walielewa sana....
 
Hivi ukiwa na li nyau kama Garfield si utaham nyumba?
Jirani tizama na Asterix...... Ukipenda na story kuna Snowhite and the 7 dwarfs, Beauty and The Beast,.......... Gimme any cartoon and we are game.

Heheh nitazitafuta hizo ila sidhani kama nitaipenda Beauty and the Beast nitaipenda maana ile TV show yenye jina hilo au hii movie ya juzi juzi hapa sikuwahi kuwa mpenzi wa hizo...
 
kwahiyo we na dogo mna hobby sawa,kama inawafurahisha wote mbona raha

Kabisa tuna hobby sawa,sio mimi tu karibia familia yetu wote nyumbani tunapenda cartoon,kuanzia kaka yangu dada yangu,mpaka wadogo zangu...!!!mpaka leo na ukubwa wote huu ican't wait to miss that
 
Hio nimeiona aisee..huyu el macho ananiachaga hoi...nilicheki PLANES this weekend kulikuwa na el macho plane which had a big crush on a french chick plane was so much fun with the flirting and all....BTW sidhani kama watoto walielewa sana....

El Macho.png

haa, Planes, I hope it is worth kuiendea theater, very rare animation imenidissapoint though.

And by the way, umeshawahi kuziona Lego Mini City series? Hebu zitafute youtube, anyway ngoja kukuwekea moja hapa uone. I soooo looooooveeee theeeeeem. Big time 😀 🙂

<iframe width="640" height="360" src="//www.youtube.com/embed/jQ9OyZh3bOE" frameborder="0" allowfullscreen></iframe>
 
Tom and jeryy ni yakibaguzi yule mama anayechimbishwa ni black full kumdhalilisha,but pumba na jumong nao hatareeee
 
Tom and jeryy ni yakibaguzi yule mama anayechimbishwa ni black full kumdhalilisha,but pumba na jumong nao hatareeee
hisia zako tu,kwani hujamwona yule mtoto mwenye nepi walivyokuwa wanavyomzingua?
 
give me update mara ya mwisho umeangalia ipi?
RIO 2 some weeks ago and TWINKEL BELL AND THE PIRATE FAIRY which were fun!Some months ago nimeangalia THE LEGO MOVIE which i found boring,niliangalia pia FROZEN which was fun na mwanangu yupo crazy in love na ile nyimbo let it go!!
 
RIO 2 some weeks ago and TWINKEL BELL AND THE PIRATE FAIRY which were fun!Some months ago nimeangalia THE LEGO MOVIE which i found boring,niliangalia pia FROZEN which was fun na mwanangu yupo crazy in love na lie nyimbo let it go!!
ukizoea hizi nakuambie movie za kawaida utaona hazifurahishi,mi huwa nazifuatilia sana cartoons
 
ukizoea hizi nakuambie movie za kawaida utaona hazifurahishi,mi huwa nazifuatilia sana cartoons
Well I'm doing it for my kiddo and i find these movies very funny,najionaga kama mimi nacheka thru the whole movie...
 
sijui animation gan sijazichek mpaka now cz nmechek nyingi ila Kali kuliko zote kwangu ni RANGO .ALLADIN.FROZEN
 
Asee kuna Pussy in boots na tangled hizi zilikuaa kali baraa,,na nyingine nying sana mpk nasahau majina,ila animations ni nzuri sna,na co kwa watto tu
 
Kung fu panda,turbo na sinbad nazo hataree sna! 😛oa:
 
RIO 2 some weeks ago and TWINKEL BELL AND THE PIRATE FAIRY which were fun!Some months ago nimeangalia THE LEGO MOVIE which i found boring,niliangalia pia FROZEN which was fun na mwanangu yupo crazy in love na ile nyimbo let it go!!

hapo umenigusa kweli lkn lego movie nmeikubal coz pia ina mastaa wengi wa vichekesho
 
M animation nlzotokea kuzpnda n hz Tangled,Rio1&2,Rango,The lego movie,Turbo,how to train ur dragon,Epic, Monsters
University,Cloudy with a
Chance of Meatballs1&2, Escape from
Planet Earth,
 
Back
Top Bottom