Hivi Cardinal Pengo ni Mtanzania?

labda watamuweka shehe ponda...hahahaha
kweli kama unadhani Shehe Ponda ni timamu umekosea, huyu ni msaliti wa watu wake, wajamii yake na hakika huyu jamaa mara zote amekua akipiginia mkate wake, kama unabisha mpe elfu kumi kisha mpe masharti yoyote atafanya, hana maana huyu.
 
Waislam mna rais muislam mpeni ushauti huko msikitini awatume watu wa uhamiaji wakamhoji Pengo uraia kama JK anao ubavu .Maana naona sasa badala ya hoja mnalia na Pengo tu . Kichwa kile baba mwekeni hapo nani sijui wa Bwakata kama ataambulia lolote . Kama mnabisha wekeni muone .

Sio waislamu (wote). Kuna wachache punguani ambao hawaijui dini yao na elimu dunia imewapiga chenga ndiyo wanaotaka kuwaharibia wenzao. Watu wa namna hiyo wako kwenye dini zote. Cha msingi ni kuwaweka sawa wanapoleta upuuzi wao.

Amandla......
 
Kutokana na kusoma mada mbalimbali humu jamvini na kujaribu kumuona kama vile Muadham kardinari Policarp Pengo hastahiki kuwa mtanzania.

Kwanza kabisa yeye ni mmoja wa wale wateule wanaoingia bila wasi wasi katikakumchagua kiongozi wa dhehebu la katoliki Duniani ambaye pia anakuwa kiongozi wa vatican.

Vile vile yeye anaweza kuchaguliwa kuwa kiongozi wa wakatoliki duniani na Kiongozi wa nchi ya vatican, Kwani Pope anachaguliwa miongoni mwa makadinari. Kwa hiyo kwa mujibu wa sheria za kanisa katoliki anaweza kuwa kiongozi wa kidunia wa dhehebu hilo.

sasa kama kuna mtu anayeweza kuchagua kiongozi wa nchi nyingine na mwenye sifa za kuchaguliwa kuwa kiongozi bila shaka yoyote huyo atakuwa ni kiongozi wa nchi husika. Sasa naweza kusema Pengo ni M vatican.

Tunajuwa na naamini wazi yeye anahodhi pasipoti ya Tanzania na hivyo ni mtanzania.

Vile vile tunajua wazi wa tanzania hawaruhusu uraia wa nchi mbili? sasa inakuwaje.

naomba wanasheria mlifafanue hilo.
.
Naona watu takriban wooote wanakuandama Bro Hafif lakini mimi nimesoma kwa makini sana nimeona kuna logic na suala lako ni zuri ambalo ingebidi wanajamii mumuelimishe kuliko kumtukana.

Nilivyokuelewa mimi ni kuwa. Kila mwananchi ana haki ya kuchaguliwa au hata kuchagua viongozi wake ili muradi akidhi masharti ya nchi husika. Nchi nyingi sharti kuu ni Uraia na umri.

sasa suala lake Pengo ana kidhi matakwa ya kuwa kiongozi wa juu wa Vatiican na anaweza kuwa kiongozi wa juu wa Tanzania.

Sasa tujaalie kadinari Pengo kachaguliwa kuwa Pope wa vatican, sasa itakuwaje?

nafikiri hili ndio kusudio lake. Hafif kama nimekosea kukuelewa naomba unikosoe.

Binafsi nitamweleza suala hili Nasriyah alifafanue kisheria zaidi na kukujibu hapa hapa ukumbini..
 
Sasa tujaalie kadinari Pengo kachaguliwa kuwa Pope wa vatican, sasa itakuwaje?

nafikiri hili ndio kusudio lake. Hafif kama nimekosea kukuelewa naomba unikosoe.

Kadinali Polycarp Pengo akichaguliwa kuwa Pope wa wakatoliki ( hakuna Pope wa Vatican) kwa sheria za nchi yetu itabidi aachie uraia wa Tanzania na achukue uraia wa State of Vatican. Kama tutakuwa na utaratibu wa dual citizenship basi ataongezea uraia wa State of Vatican kwenye utanzania wake. Sasa hii inahusiana nini na uraia wa kadinali sasa hivi wakati ambapo pengine hata upope hauwazii. Mbona Rugambwa alikufa bila kuwa Pope? kwa mtazamo wenu basi Hasheem Thabeet si raia wa tanzania maana kuna uwezekano mkubwa wa siku za usoni akachukua uraia wa Marekani!

Amandla.........
 
hebu soma hoja yake hii
Kwanza kabisa yeye ni mmoja wa wale wateule wanaoingia bila wasi wasi katikakumchagua kiongozi wa dhehebu la katoliki Duniani ambaye pia anakuwa kiongozi wa vatican.

Vile vile yeye anaweza kuchaguliwa kuwa kiongozi wa wakatoliki duniani na Kiongozi wa nchi ya vatican, Kwani Pope anachaguliwa miongoni mwa makadinari. Kwa hiyo kwa mujibu wa sheria za kanisa katoliki anaweza kuwa kiongozi wa kidunia wa dhehebu hilo.

sasa kama kuna mtu anayeweza kuchagua kiongozi wa nchi nyingine na mwenye sifa za kuchaguliwa kuwa kiongozi bila shaka yoyote huyo atakuwa ni kiongozi wa nchi husika. Sasa naweza kusema Pengo ni M vatican.

Tunajuwa na naamini wazi yeye anahodhi pasipoti ya Tanzania na hivyo ni mtanzania.

Vile vile tunajua wazi wa tanzania hawaruhusu uraia wa nchi mbili? sasa inakuwaje.

Soma hapo vizuri hoja zake kisha tumsaidie kisheria.
 
Mawazo na hoja hafifu za msikitini watu wakisha choka ndiyo wanakuja na hoja za Pengo kuwa Raia wa vatican dit is onzin . Ujinga mtupu mtu akienda ku save UN kama Migiro sasa ni raia wa wapi ? Uliambiwa wapi kuwa ukiwa Kardinali unapewa uraia wa Vatican ?
 
Kadinali Polycarp Pengo akichaguliwa kuwa Pope wa wakatoliki ( hakuna Pope wa Vatican) kwa sheria za nchi yetu itabidi aachie uraia wa Tanzania na achukue uraia wa State of Vatican. Kama tutakuwa na utaratibu wa dual citizenship basi ataongezea uraia wa State of Vatican kwenye utanzania wake. Sasa hii inahusiana nini na uraia wa kadinali sasa hivi wakati ambapo pengine hata upope hauwazii. Mbona Rugambwa alikufa bila kuwa Pope? kwa mtazamo wenu basi Hasheem Thabeet si raia wa tanzania maana kuna uwezekano mkubwa wa siku za usoni akachukua uraia wa Marekani!

Amandla.........

Fundi Mchundo settled this with authoritative information and a decidedly cutthroat finality. Kama unataka kuhukumu watu kwa potentialities utafunga watu wote duniani kwa sababu potentially wanaweza kuua/kuiba etc.

Sijui maneno mengi zaidi ya nini? Kuna mtu ana swali na hii shule hapa?

Fundi, usipotee sana bwana, shule yako iliyo poignantly succinct inahitajika.

Nikisema mie watasema it's just that godless bombastically pompous and pretentious petit-bourgouisie Bluray.
 
Kwanza ningependa kusema hii mada haina maana yeyote kwa sababu utaifa wa Kadinali Pengo unajulikana kuwa ni Mtanzania, nadhani mwandishi wa hii mada aliamua kuleta porojo ambazo hazina maana yeyote kwenye uulizaji wa swali lake.

Lakini kinachoshangaza ni jinsi ya baadhi ya watu wanaoheshimika humu ndani kukurupuka na kuanza kutoa shutuma kwa waislamu na uislamu kana kwamba wana uhakika mwandishi wa porojo hizi anawakilisha uislamu au waislamu, Hivi mna uhakika gani aliendika hii mada ni Muislamu? Ina maana kila mtu anayehoji kitu chochote kuhusiana na Kadinali Pengo basi ni Muislamu? Kwa nini asiwe Muanglikana, Mlutheri, au Mpentekoste au labda ni mtu anayefuata scientology, au inawezekana ni mpagani.
 
Last edited:
Kwanza ningependa kusema hii mada haina maana yeyote kwa sababu utaifa wa Kadinali Pengo unajulikana kuwa ni Mtanzania, nadhani mwandishi wa hii mada aliamua kuleta porojo ambazo hazina maana yeyote kwenye uulizaji wa swali lake.

Lakini kinachoshangaza ni jinsi ya baadhi ya watu wanaoheshimika humu ndani kukurupuka na kuanza kutoa shutuma kwa waislamu na uislamu kana kwamba wana uhakika mwandishi wa porojo hizi anawakilisha uislamu au waislamu, Hivi mna uhakika gani aliendika hii mada ni Muislamu? Ina maana kila mtu anayehoji kitu chochote kuhusiana na Kadinali Pengo basi ni Muislamu?

GQ,

Watu wana one track mind hapa.One track si unajua treni mbili hazipishani? Basi na wao hawana uwezo wa kuweka idea mbili kichwani, ukimtukana Kadinali wewe muislam, kumbe kuna wakristo kibao anti-popes, kuna wapagani kama sie ambao tunaona wakristo na waislam wote tu wanatuyayusha etc.
 
Nafikiri huyu bwana hafif aliuliza inawezekana uelewa wake ulikuwa umekomea hapo lakini kuna mtu kampa jibu zuri tu nami kwa kusisitizia hilo ni Hivi "Kila mwanamume wa kikatoliki asiyeoa anaweza kuwa papa maana makadinali wakikaa kuchagua papa kila mkatoliki mwanaume asiyeoa anaruhusiwa kuchaguliwa kuwa papa sasa jibu lako ni hili je watanzania wote wanaume wakatoliki siyo raia wa Tanzania kwa sababu they are all elligible candidates of the papacy!! Mwadhama inclusive!! nafikiri hakuna haja ya kuendelea na mjadala huu maana it is simply a waste of time and energy!! serve your energy and time wachana na kujibizana katika hili!!there are more serious issues to be discussed.
 
Mi nadhani hoja ya utanzania wa Kardinali hauna msingi wowote. Kwani Asha-Rose Migiro si Mtanzania? Mbona ana pasipoti ya Umoja wa Mataifa? Mbona Salim A. Salim alipkuwa rais wa Umoja wa Mataifa alikuwa na pasipoti ya UN, je utanzania wake ulikufa? Hapana! Sasa Cardinal Pengo kuwa Kardinali ndio imekuwa nongwa? Pengo hana uraia wa nchi mbili. Kwa hiyo hoja yako haina msingi.
Kweli kabisa mkulu!Hizi mada zingine ni pumba tu bana!kajisaidie ule mkuu wa mada hii!
 
sasa kama kuna mtu anayeweza kuchagua kiongozi wa nchi nyingine na mwenye sifa za kuchaguliwa kuwa kiongozi bila shaka yoyote huyo atakuwa ni kiongozi wa nchi husika. Sasa naweza kusema Pengo ni M vatican.

HM Hafif... Hiyo mantiki yako hapo juu IMEFULIAAAAAAAAA!!!!

Nchi nyingi za Ulaya mtu ambaye bado si raia anaruhusiwa kupiga kura baada ya kuishi miaka 2-3 nchi hizo na kupewa haki za kupiga kura.

Kwa mantiki yako, hao raia wote wa kigeni wanaoruhusiwa kupiga kura huko Ughaibuni ni VIONGOZI KWENYE HIZO NCHI, na siyo hiyo tu bali pia ni RAIA wa nchi hizo. Kaaz kwer kwer!
 
Kutokana na kusoma mada mbalimbali humu jamvini na kujaribu kumuona kama vile Muadham kardinari Policarp Pengo hastahiki kuwa mtanzania.

Kwa hiyo umefikia conclusion ya uraia wa Pengo kutokana na mada mbali mbali za JF? Haya basi tuonyeshe hizo dot ulivyo ziunganisha ili tuelewe umefikiaje jibu lako.

Kwanza kabisa yeye ni mmoja wa wale wateule wanaoingia bila wasi wasi katikakumchagua kiongozi wa dhehebu la katoliki Duniani ambaye pia anakuwa kiongozi wa vatican.

Yeye si Mtanzania pekee ambae yupo eligible kuwa papa. Infact mapapa wote waliyo wahi kutokea walikuwa na uraia wa nchi zao husika. Je ume jaribu kuchunguza hao mapapa wengine ilikuaje walivyo pata upapa? Yani have you compared and contrasted? Maana labda jibu lako tayari lipo kwenye historia ya waliyo wahi kuwa mapapa.

Vile vile yeye anaweza kuchaguliwa kuwa kiongozi wa wakatoliki duniani na Kiongozi wa nchi ya vatican, Kwani Pope anachaguliwa miongoni mwa makadinari. Kwa hiyo kwa mujibu wa sheria za kanisa katoliki anaweza kuwa kiongozi wa kidunia wa dhehebu hilo.

I hope you know upapa ni nafasi ya kidini na si kisiasa.

sasa kama kuna mtu anayeweza kuchagua kiongozi wa nchi nyingine na mwenye sifa za kuchaguliwa kuwa kiongozi bila shaka yoyote huyo atakuwa ni kiongozi wa nchi husika. Sasa naweza kusema Pengo ni M vatican.
Hapa swala kuu ni "kama". Mpaka hapo ata kapo chaguliwa kuwa papa(kama ata chaguliwa) yeye ni Mtanzania 100%.

Tunajuwa na naamini wazi yeye anahodhi pasipoti ya Tanzania na hivyo ni mtanzania.

Kumbe jibu tayari unalo?

Vile vile tunajua wazi wa tanzania hawaruhusu uraia wa nchi mbili? sasa inakuwaje.

Swadakta. Basi kama ni hivyo uraia unaoonyeshwa kwnye passport yake ndiyo uraia wake. Napenda jinsi ulivyo chambua mwenyewe hoja zako na kufikia jibu mwenyewe bila kujijua.
 
.
Naona watu takriban wooote wanakuandama Bro Hafif lakini mimi nimesoma kwa makini sana nimeona kuna logic na suala lako ni zuri ambalo ingebidi wanajamii mumuelimishe kuliko kumtukana.

Anaandamwa kwa sababu hatoi logic yoyte ya maana sasa sijui wewe umeona logic ipi mkuu.

. Nilivyokuelewa mimi ni kuwa. Kila mwananchi ana haki ya kuchaguliwa au hata kuchagua viongozi wake ili muradi akidhi masharti ya nchi husika. Nchi nyingi sharti kuu ni Uraia na umri.

Again nauliza watu. Je mnajua upapa si nafasi ya kisiasa? Huwezi kulinganisha kuwa papa na kuwa raisi au waziri mkuu wa nchi.

. sasa suala lake Pengo ana kidhi matakwa ya kuwa kiongozi wa juu wa Vatiican na anaweza kuwa kiongozi wa juu wa Tanzania.

He can't have it both ways. Akitaka kuingia kwenye siasa ni lazima aachie wadhifa wake wa kikanisa which will automatically disqualify him from being the pope. Na kama akiwa pope hawezi tena kuwa raisi wa Tanzania. Ungekua na point kama angeweza kuwa raisi wa tanzania na papa kwa wakati mmoja which is impossible.

. Sasa tujaalie kadinari Pengo kachaguliwa kuwa Pope wa vatican, sasa itakuwaje?

Itakuaje kivipi? Kuhusu uraia wake au kuhusu kugombea nafasi ya kisiasa Tanzania? Naomba uchunguze ilikuaje kwa mapapa wengine. Maana kila papa anakua na initial citizenry so kama kungekua na muingiliano nakuhakikishia ingesha kuwa debate hata nchi zingine.

. Binafsi nitamweleza suala hili Nasriyah alifafanue kisheria zaidi na kukujibu hapa hapa ukumbini..
Karibu kaka. Hebu tupe hoja zako kwa mujibu wa sheria za Tanzania.
 
Ladies and Gentlemen of JF feel pity on Hafif because his IQ is not only zero but negative.
 
Kutokana na kusoma mada mbalimbali humu jamvini na kujaribu kumuona kama vile Muadham kardinari Policarp Pengo hastahiki kuwa mtanzania.

Kwanza kabisa yeye ni mmoja wa wale wateule wanaoingia bila wasi wasi katikakumchagua kiongozi wa dhehebu la katoliki Duniani ambaye pia anakuwa kiongozi wa vatican.

Vile vile yeye anaweza kuchaguliwa kuwa kiongozi wa wakatoliki duniani na Kiongozi wa nchi ya vatican, Kwani Pope anachaguliwa miongoni mwa makadinari. Kwa hiyo kwa mujibu wa sheria za kanisa katoliki anaweza kuwa kiongozi wa kidunia wa dhehebu hilo.

sasa kama kuna mtu anayeweza kuchagua kiongozi wa nchi nyingine na mwenye sifa za kuchaguliwa kuwa kiongozi bila shaka yoyote huyo atakuwa ni kiongozi wa nchi husika. Sasa naweza kusema Pengo ni M vatican.

Tunajuwa na naamini wazi yeye anahodhi pasipoti ya Tanzania na hivyo ni mtanzania.

Vile vile tunajua wazi wa tanzania hawaruhusu uraia wa nchi mbili? sasa inakuwaje.

naomba wanasheria mlifafanue hilo.

naleta hoja
Mbona sijakuelewa!! ni kipi kinachomvua Cardinal Pengo huo uraia? Kupiga kura ya kumchagua papa haina maana yeye sio mtanzania. Huo utanzania anauondoa vipi?
Tatizo naona ni kama lilelile la kila siku kutaka kulazimisha mambo ambayo hayapo yawepo. Vatican ina status ya nchi. Ila ni lazima kujua mfumo wake mzima ukoje kabla ya kutoa hoja zisizo na hoja
 
Kutokana na kusoma mada mbalimbali humu jamvini na kujaribu kumuona kama vile Muadham kardinari Policarp Pengo hastahiki kuwa mtanzania.

Kwanza kabisa yeye ni mmoja wa wale wateule wanaoingia bila wasi wasi katikakumchagua kiongozi wa dhehebu la katoliki Duniani ambaye pia anakuwa kiongozi wa vatican.

Vile vile yeye anaweza kuchaguliwa kuwa kiongozi wa wakatoliki duniani na Kiongozi wa nchi ya vatican, Kwani Pope anachaguliwa miongoni mwa makadinari. Kwa hiyo kwa mujibu wa sheria za kanisa katoliki anaweza kuwa kiongozi wa kidunia wa dhehebu hilo.

sasa kama kuna mtu anayeweza kuchagua kiongozi wa nchi nyingine na mwenye sifa za kuchaguliwa kuwa kiongozi bila shaka yoyote huyo atakuwa ni kiongozi wa nchi husika. Sasa naweza kusema Pengo ni M vatican.

Tunajuwa na naamini wazi yeye anahodhi pasipoti ya Tanzania na hivyo ni mtanzania.

Vile vile tunajua wazi wa tanzania hawaruhusu uraia wa nchi mbili? sasa inakuwaje.

naomba wanasheria mlifafanue hilo.

naleta hoja

Hafif
Kama huna hoja ya kuandika bora ukae kimya kuliko kuleta hoja ya kipuuzi kama hii
 
This is bad logic, very bad logic indeed. How can you argue that he has the potential to be a citizen of the Vatican in the future, and therefore he is not a citizen of Tanzania now?
 
Back
Top Bottom